Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

eToro๐Ÿ“Š๐Ÿ“ˆ

BINARY INVESTMENT PLAN ๐ŸŸคโšช๐ŸŸข

BRONZE TRADE PLAN (48 HOUR PLAN)
๐ŸŸค $1000 EARN $5,000
๐ŸŸค $2000 EARN $10000
๐ŸŸค $3000 EARN $15000
๐ŸŸค $4000 EARN $20000
๐ŸŸค $5000 EARN $25000

SILVER TRADE PLAN(72 HOUR PLAN)
โšช $1000 EARN $10500
โšช $2000 EARN $20500
โšช $3000 EARN $30500
โšช $4000 EARN $40500
โšช $5000 EARN $50500

VIP TRADE PLAN
๐ŸŸข 1BTC EARN 5BTC
๐ŸŸข 2BTC EARN 10BTC
๐ŸŸข 3BTC EARN 15BTC
๐ŸŸข 4BTC EARN 20BTC
๐ŸŸข 5BTC EARN 25BTC

Nimekutana na hawa watu ambao nahisi ni matapeli, wananishawishi kweli niwekeze, wapo watu wanatia taarifa za ku depost na ku withdraw, nadhani ni kundi moja wanataka kuvutia watu wawapige

Najiuliza ni biashara gani ya kutoa output ya faida kubwa hivyo bila hasara?

Kama kuna mtu anajua chochote kuhusu hili anisaidie
 
Hapa tunazungumzia kabla ya 31/12/2028.
Acha tuone,muda utaongea
 
Samahani kwa kuchelewa kukujibu,....hao ni matapeli,faida ipo ila sikihivyo aisee
 
Tarehe 20 mwezi huu tunasubiria ya kwetu
Bula shaka ni Pi coins.........tuombe mungu Inshallah kwenye crypto world chochote kinaweza tokea,Solana December 2022 ilikua chini ya $10,2024 imefik zaidi ya $200
 
Hii unajuaje wakati haijazinduliwa?
Bula shaka ni Pi coins.........tuombe mungu Inshallah kwenye crypto world chochote kinaweza tokea,Solana December 2022 ilikua chini ya $10,2024 imefik zaidi ya $200
 
Hii unajuaje wakati haijazinduliwa?
Ipi hiyo ambayo haijazinduliwa?,Solana ipo Live kitambo, Pi bado ila ukiingia coinmarketcap.com unawesa cheki IPO price,inayotegemewa kuanza nayo katika live mode
 
Ipi hiyo ambayo haijazinduliwa?,Solana ipo Live kitambo, Pi bado ila ukiingia coinmarketcap.com unawesa cheki IPO price,inayotegemewa kuanza nayo katika live mode
Pi ndio inazinduliwa tarehe 20
 
Hii kitu Bado ipo au ishakufa kama DECI na kalinda
1.Duuh mkuu wewe utakua haufatilii mambo au ni mtu mjinga sana aisee๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜๐Ÿ˜†,
2.Juzi TU Microstrategy ya Michael Saylor wamefikisha Bitcoin zenye thamani ya $Billion 48,
3.Nakushauri tafuta vitabu ama articles zinazohusu Blockchain na Bitcoin,usome,.........better risk than regret
 
Hii kitu Bado ipo au ishakufa kama DECI na kal
Huwezi jua kila kitu duniani
 
Hii thread ilianzishwa mwaka 2013 wakati Bitcoin ipo sawa na around dola 1000. Ona jinsi mwanzisha threa alivyoelezea huo mwaka 2013
''Mkuu, kuna sehem nyingi za kununua Bitcoins, unaweza kununua kwa kutumia debit card yako, lakini mara nyingi ukitumia credit card au debit card inachukua siku nyingi mpaka uje kupata bitcoins zako, njia rahisi kama unataka kununua ingia localbitcoins.com utakuta wauzaji wengi, bei tofauti na njia mbalimbali za malipo, mimi huwa nalipia kwa westernunion ndani ya dakika 20 muuzaji ananipatia coins zangu. Bei inabadilika siku hadi siku, juzi ilipanda mpaka $1300 kwa BTC moja, leo imesimamia $950 kwa hiyo unaponunua kuwa mwangalifu, nunua siku unapoona imeshuka kama hivi, mimi huwa nanunua wakati wa crisis na kuuza inapopanda''.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ