Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Jimbo la California kule marekani lilipata jina lake kutoka kwa Malkia mweusi aliye itwa Califia . Kwa mujibu wa historia, California kilikuwa kisiwa ambapo wanawake weusi tuu waliishi. Wanawake hawa walikuwa ni wenye nguvu zaidi duniani. Hernán Cortés (Mzungu aliye lipa jina jimbo hilo) alipowasili California, kwa ajili ya kumtafuta malkia huyoi, ushawishi na uzuri wake juu yake ulikuwa mkali mno, paka akaamua kumsifu kwa kulipa Jimbo hilo jina la malkia huyo. California linalomaanisha, "nchi ambapo wanawake weusi wanaishi."
Sent using Jamii Forums mobile app