Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Mleta Mada hajatimiza Historia ya Magufuli naona kaelezea au kapaste ile ya Palamagamba KabudiAnyways yote ni sawa tu japo sijui ni kwanini nilipomaliza tu Kusoma huu Wasifu ghafla nikajikuta namkumbuka ( tena Kihuruma na Kimajonzi zaidi ) Mtanzania Mwenzangu ambaye sijui yupo Hai au alishatutangulia Kitambo tu mbele ya Haki Ben Saanane.
Kuhusu upande wa watoto sina uhakika km Mama Janet alifikisha watoto wanne
Kuna kiongozi mmoja mahiri sana alikataa wosia wa Meya wa Jiji Masaburi alipotaka kuminya wake wangine na watoto wa nje wa Masaburi akawataja yeye mwenyewe
Yote tumuachie Mungu amlaze mpendwa wetu tutamkumbuka kwa yote hasasa tumbuatumbua