Historia ya Dkt John Pombe Magufuli

Alifukuzwa seminary gany, lini na kwakosa gani?
Mungu akujalie kwa kumuombea mwwnzio matatizo.
Kumbe hujui hata historia uliyoiandika mwenyewe! Mwaka 1975 alijiunga seminary ya Katoke huko Mkoa wa Kagera, ilikuwaje akahamia Lake Secondary ambayo ni ya serikali mkoa wa Mwanza akiwa form 4? So sad hujui halaf bado unabisha...Kama hujui uliza!!!
 
Ndiyo sifahamu ndo maana nimeuliza alifukuzwa lini na kwa kosa gani?
Au hukunielewa na wewe.
 
Nilowahi yasikia toka kwa classmate wake (rafiki yake) wa Katoke Seminary ni kwamba yeye na huyo mtoa taarifa (classmate wake) kwa pamoja walifukuzwa kwa kosa la kukutwa bweni la wasichana huenda walikuwa wakifukuzia kuosha plug.

Elimu baada ya secondary Magufuli alijikuta ni mwalimu na huyo classmate aliajiliwa benki na baadae alifukuja fukuzwa sababu ya ulevi. Mpaka leo hii ni mlevi wa pombe kupindukia na kipindi cha uhai wa Magufuli ilikuwa ukimsikia akilaani sana Magufuli kuwa maarufu zaidi yake na wakati eti yeye kitaaluma alimzidi Magufuli darasani na Magufuli aliishia kuwa mwalimu na yeye Meneja wa benki.
 
Asante kwa taarifa hiyo mkuu,
Bila shaka hizo ni tetesi au pia zinaukweli, wengine wanadai alifukuzwa eti alishindwa ngoja tusikie taarifa nyingine mutoka kwa mdau hapo juu.
 
Wasiliana na seminary watakupa maelezo zaidi
Mkuu kwa watu tulio soma biashara ni kwamba Taasisii hairuhusiwi kutoa taarifa za mteja kwa mtu yeyote, hivyo seminary hawawezi toa taarifa zake bila ruhusa ili kurinda bland ya Taasisii.
 
Mkuu kwa watu tulio soma biashara ni kwamba Taasisii hairuhusiwi kutoa taarifa za mteja kwa mtu yeyote, hivyo seminary hawawezi toa taarifa zake bila ruhusa ili kurinda bland ya Taasisii.
Basi ndo nakupa za chini ya kapeti, jamaa alifukuzwa alipokuwa form 3 mwishoni, alitoroka sijui kwenda kunywa lubisi na matatizo mengine..
 
Basi ndo nakupa za chini ya kapeti, jamaa alifukuzwa alipokuwa form 3 mwishoni, alitoroka sijui kwenda kunywa lubisi na matatizo mengine..
Hapo napata ukakasi hata sielewi kipi ni kipi.
Mdau hapo juu amesema alifukuzwa akiwa 4m4 kwa kosa la kukutwa bwenini kwa mamanzi.
 
Mleta uzi nimepita hapa shekilango road sinza ...kati ya vitu vinanifanya nimmiss ni hizi barabara

Yaan sinza kumekuwa kutamu balaa ni unaslide tu, sawa ni hela za kodi yetu but namshukuru Kwa utekelezaji
 
Hapo napata ukakasi hata sielewi kipi ni kipi.
Mdau hapo juu amesema alifukuzwa akiwa 4m4 kwa kosa la kukutwa bwenini kwa mamanzi.
Inawezekana... kikubwa ni kweli alifukuzwa form 3 mwishoni au form 4 mwanzoni. Lakin I doubt kama seminary huwa zinachanganya wanafunzi wa kike na kiume katika shule moja. Labda kama walikutwa shule ya jirani. Sababu haijulikani vizuri. Wengine wanasema alikuwa na matatizo ya kichwa ( shake well before use) toka udogo wake
 
John-la ubatizo
joseph-lake kabisa
pombe-la utani
Magufuli-la baba ake
Jina la Pombe sio la utani, ni jina halisi alipewa na bibi yake mzaa baba, maana siku anazaliwa, huyo bibi yake alikuwa amepika pombe ( walwa) hapo nyumbani kwao.
 
Hutu lile
 
Mleta uzi nimepita hapa shekilango road sinza ...kati ya vitu vinanifanya nimmiss ni hizi barabara

Yaan sinza kumekuwa kutamu balaa ni unaslide tu, sawa ni hela za kodi yetu but namshukuru Kwa utekelezaji
Asante madam kwa kurejesha shuhuda hiyo.
Kiukweli mzee alifanya mambo japo haters wanapinga.
 
Hapo sawa nimekupata japo kuna ukakasi mwingi sana hapo.
Ila ukweli upo umetulia
 
Jina la Pombe sio la utani, ni jina halisi alipewa na bibi yake mzaa baba, maana siku anazaliwa, huyo bibi yake alikuwa amepika pombe ( walwa) hapo nyumbani kwao.
Ndiyo mkuu hilo jina Pombe (walwa) lilitolewa Kama jina la utani.
Hii ipo sana usukumani kua watoto majina ya utani hasa wanayo pewa na bibi/babu huishi sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
Kaacha legacy
 
Kumbe hujui hata historia uliyoiandika mwenyewe! Mwaka 1975 alijiunga seminary ya Katoke huko Mkoa wa Kagera, ilikuwaje akahamia Lake Secondary ambayo ni ya serikali mkoa wa Mwanza akiwa form 4? So sad hujui halaf bado unabisha...Kama hujui uliza!!!
unaweza kutoka shule ya private ukahamia serikali?? yani utoke mbezibeach sec uende azania kwa kuhamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…