Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
67-68 alikua mkwawa Advance Certificate of Secondary Education....arrangement tu ndo mbaya as wameanza na o level badala ya A levelzamani walikuwa wanafanya mtihani huo wa kutoka Cambridge... ndio maana unaona o-level... hapo na hata ukihesabu miaka ina range 4 ile ile ya o-level ... hajaunga sana
Wanasema mengi.Mbona wanasema alisoma masters ya uchumi
Ingia Google andika "Master of Arts (Scotland)" utapata maelezo yaliyojitosheleza.Mbona wanasema alisoma masters ya uchumi
Hiyo Cambridge certificate Ndio Secondary yenyewe. Enzi hizo walikuwa wanafanya mitihani ya Uingereza.