Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Pesa au madaraka? Eti naye akaanza kuutamani urais; aitawale nchi!Hapo pesa ilivunja ndoa ya rubsni.
Yani Grace hakupanga mikakati take vizuri alidhani kuliweka jeshi la polisi mfukoni mwake angeweza kuwa rais. Laiti jeshi lingemkubali nchi angeuchukua. Mnangagwa the crocodile aliporwa chupuchupu kuuawa akatoroshwa kavaa bibi mwakani mwa Zimbabwe sijui na msumbiji sikumbuki.Pesa au madaraka? Eti naye akaanza kuutamani urais; aitawale nchi!
Madaraka yalileta pesa, ukiwa na pesa unakuwa na madaraka.Pesa au madaraka? Eti naye akaanza kuutamani urais; aitawale nchi!
Kama wewe unavyoutaka urais wa wabeba mabox huko mastate unataka umpindue KirangaYani Grace hakupanga mikakati take vizuri alidhani kuliweka jeshi la polisi mfukoni mwake angeweza kuwa rais. Laiti jeshi lingemkubali nchi angeuchukua. Mnangagwa the crocodile aliporwa chupuchupu kuuawa akatoroshwa kavaa bibi mwakani mwa Zimbabwe sijui na msumbiji sikumbuki.
Mwamba GT Richard anaifaham sana hii kiundani alileta uzi mzuri sana humu wakati hule Grace alita kuwa rais.