Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
RIP kamanda Mayunga kipindi una fariki nilikuwa sijajiunga jf.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu amlaze peponi shujaa wetu.....Mashujaa kama hawakumbukwi,Mafisadi ndiyo wanaotukuzwa tu hata wakijiuzulu bado kutokana na ujinga watu wengine hulia mh we jamaa sijui utakuwa wp sahii
sijui umeresti au umeamua kujificha Mexico kama Makavel
Mungu amlaze peponi shujaa wetu.....Mashujaa kama hawakumbukwi,Mafisadi ndiyo wanaotukuzwa tu hata wakijiuzulu bado kutokana na ujinga watu wengine hulia hadi kuzimia!
We miss you ComradeMungu amlaze peponi shujaa wetu.....Mashujaa kama hawakumbukwi,Mafisadi ndiyo wanaotukuzwa tu hata wakijiuzulu bado kutokana na ujinga watu wengine hulia hadi kuzimia!
Aisee wewe mwamba, vita hii ulishinda mpaka wakaamua kukupoteza, maana yake walishindwa kupambana na wewe kwenye level playing field wakati hata nchi haikuwa vitani.Mungu amlaze peponi shujaa wetu.....Mashujaa kama hawakumbukwi,Mafisadi ndiyo wanaotukuzwa tu hata wakijiuzulu bado kutokana na ujinga watu wengine hulia hadi kuzimia!