Kwa kizazi cha sasa hakiwezi kuijuia hii historia, wala haisimuliwi tena, nakumbuka tulikuwa tunavisoma vile vitabu tukiwa bado wadogo na kuona jinsi gani huyu mtu alivyokuwa mnyama.
Nakumbuka Askari wakiwa wanawapiga watu huku wamewafunga kamba mikono, wengine wakiwalenga shabaha na mambo mengi ya ukatili wa kutisha.
Najiuliza tena hawa watawala tuliokuwa nao hawakujifunza kwa hili, leo wao ndiyo wanaoamrisha yatokee haya
Na tuliyajua baada ya Iddy Amini kutolewa madaraka wenda tusingeyajua bila msaada wa jeshi la JWTZ chini kamanda hayati Mwalimu Nyerere.
leo hii inchi yako uliyoiachia amani na utulivu watu wanapigwa na kwenda kutupwa porini na jeshi la polisi, maiti zinaokotwa kulekule porini.
Hii damu Mungu hataicha iende bure, lazima kuna watu watakuja kulipia