Historia ya Idd Amini Dada kuua watu na kuwatupa mto Kagera

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Kwa kizazi cha sasa hakiwezi kuijuia hii historia, wala haisimuliwi tena, nakumbuka tulikuwa tunavisoma vile vitabu tukiwa bado wadogo na kuona jinsi gani huyu mtu alivyokuwa mnyama.

Nakumbuka Askari wakiwa wanawapiga watu huku wamewafunga kamba mikono, wengine wakiwalenga shabaha na mambo mengi ya ukatili wa kutisha.

Najiuliza tena hawa watawala tuliokuwa nao hawakujifunza kwa hili, leo wao ndiyo wanaoamrisha yatokee haya

Na tuliyajua baada ya Iddy Amini kutolewa madaraka wenda tusingeyajua bila msaada wa jeshi la JWTZ chini kamanda hayati Mwalimu Nyerere.

leo hii inchi yako uliyoiachia amani na utulivu watu wanapigwa na kwenda kutupwa porini na jeshi la polisi, maiti zinaokotwa kulekule porini.

Hii damu Mungu hataicha iende bure, lazima kuna watu watakuja kulipia
 
Ngoja tquone...



Cc: Mahondaw
Yanayokuja yatatisha zaidi lakini watu hawatakata tamaa,Shoka hata like dogo vipi lakini likiamua kuangusha mti hata uwe mkubwa vipi utaanguka tu,haijulishi itachukua mda gami
πŸͺ“ 🌳
 
Ungeongelea tu Siasa za Tz bila kuweka iyo historia ya IDD AMIN maana hata wewe huijui maana hayo uliyoandika kuhusu Nduli ni uongo.
 

Your browser is not able to display this video.


Alichokufanya Idd Amin ndicho wanachokifanya sasa Chama Cha Mashetani(CCM).
 
Unadhani Tanzania inaweza kuandika mambo ya kweli ( mazuri) ya IDD AMiN?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…