Historia ya Kabila la Wahaya

Historia ya Kabila la Wahaya

Aaaaah ! Mkuu hebu muogope Mungu , mimi ni mhaya na nyumbani kwa Babu yangu ni bukoba vijijini , jina la kijiji nimelihifadhi , kwenye hicho kijiji hakuna barabara , huduma ya maji watu wanachota kwenye chemchemi , umeme , huduma ya afya na shule ni majanga na watu ni walevi wa pombe za kienyeji na ni masikini wa kutupwa , nyumba ni za hovyo , nyingi ni mabanda ya nyasi na tope chache sana ndo unakuta mtu kajenga mjengo wa maana , it is simply a ghost town to put it into perspective , hebu niambie ni kijiji gani hicho ulichotembelea ukakuta hakuna nyumba ya nyasi..........Tatizo la wahaya ni dharau na nyodo unakuta mtu anakaa kwenye banda la mbuzi halafu anashupaza shingo , kiufupi I'm not proud of my ethnicity as a Haya

Wew siyo Mhaya, sema umepakwa rangi tu
 
asante mkuu kwa kusemaukweli
ukitaka kujua wahaya wakoje angakia pale bukoba mjin palivyokaa kishamba
yaan mji hauna daladala n maajabu,standi ya mabasi INA madimbi utadhan bwawa mjin vumbi tupu sasa huko vijijin si ndo balaa

Wewe utakuwa umefika stand tu, kila nchango unaotoa ni stand tu, uko kama yule jmaa wa kujenga barabara tu
 
Are you sure for what you are talking?.Bukoba ipi unaiongelea?.
Bukoba inahitaji kukombolewa sana kiroho.Ni mkoa ambao haufanani na uhalisia.Watu wanaishi locally sana they bealive much in superstitions than God hasa huko unakosema wewe vijijini.
Ni heri ukaoa mke wa kihaya una neema kuliko ndugu yako akaolewa na muhaya.Siku mkienda au ukaenda kutambulishwa ndipo utajuta na wanaume wengi wahaya wamezaa na wanawake kabila tofauti na kuwaoa hawaendi kuwatambulisha kwao tatizo lipo hapo.
Sina nia mbaya ila uvivu pia ni mkubwa maana hata vibarua wa kukata miwa bukoba kiwandani si wahaya wenyeji hawataki hiyo kazi sasa utawasifiaje watu kama hao.
Simamia ukweli nitakuelewa ila ukweli 70% mnaoolewa na wahaya mko utumwani sana hawajakombolewa sana hasa vijijini ni shida,matambiko mtindo mmoja uchawi balaaa.Duuuuh hapana.

You will always see what you are up to, wewe una element za uchawi ndiyo maana uko na imani hizo, nani kakwambia wahaya ni wachawi? Hujui mikoa unayoongoza kwa hzo mambo? Wahaya ni watu wanaotumia akili nyingi nguvu kidogo, ukitaka kujua hili wew waite kwenye kazi za nguvu nyingi akili kidgo kama kiwandani aisee huwapati. Njoo kwenye elimu hapa watakuja wote, ndiyo maana mpaka sasa ndiyo kabila linaloongoza kielimu nchini.
 
Nmetembea karibia mikoa yote Tanzania hata hapa nipo safarini ila sjabahatika kufika kagera ndo maana nmeishia tuu kucheka kulingan na comments za wakuu[emoji3] [emoji3]

Comments zao ni za uongo mkuu, wataku laghai tu
 
Ukizungumza Kilimanjaro kama mkoa usisahau maeneo yote ya Upareni halafu ndo useme . Uchagani kwa maana ya Marangu , baadhi ya maeneo ya Rombo , Kibosho , Uru na old Moshi ndo kuna hiyo miundo mbinu kwenye baadhi ya maeneo lakini Upareni panahitaji tu kuhurumiwa .
Ndugu zangu wana JF mimi nadhani hakuna mkoa hapa Tanzania ambao uko vizuri . Mtazamo wa jumla kama nchi bado kuna umasikini wa kupindukia . Kuna kazi kubwa ya kufanya kufikia maendeleo ya uhakika .
Mleta mada aliamua tu kuleta mada ili kusikia matusi watakayotukanwa Wahaya , maana nafikiri ndo kabila linawezakuwa linaongozwa kwa kuchukiwa humu JF . Inawezekana wahaya ndo sababu ya nchi kutokuendelea . Labda wanastahili matusi wanayotukanwa . Sina uhakika . Mungu tu Aziangazie akili zetu tupate maendeleo badala kumalizia stresses zetu kwa kabila moja .

Mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe kama hujui, unadhani kuna mtu anaweza kujihusisha na kushambulia tukabila twingine kama waha, wanyaturu, wagogo , wasambaa , wapogoro , wandereko na vikabila vingine vilivyo baki, hapo ni sawa na kumshambulia Hashimu Rungwe kisiasa kwani hakuna mtu ana time naye, shambulia chadema sasa uone kazi yake na wapambe kutoka kila kona kukuunga au kukuponda
 
Mimi nipo huku kwao hawana lolote maisha magumu tuu wanajenga nyumba za tope kama watu wa pwani au wanaita mbavu za mbwa.
Nenda Muleba utaona nenda maeneo kama ngenge, kanywangonge au kule milimani wanaita ngote na Kanyerenyere ndo utajua kuwa wanamaisha mazuri au magumu.
Mhaya hali ugali kwa sababu kazoea ndizi (ekitoke). Ugali na wali wameanza kula hivi juzi baada ya mnyauko kukausha ndizi. Ni moja kati ya kabila vivu kupindukia.
Wanaume hawaendi shamba zaidi ya ulevi na wanawake wanaenda shambani saa moja au mbili lakini saa tatu yupo anasugua gaga nje ya nyumba
Kama hujui kaa kimya
Kuhusu uvivu nakubaliana na wewe 100% aisee hawa watu wavivu jamani ukioa muhaya jipange, unakuta mtu hana kazi na hafanyi kazi.
 
Kuhusu uvivu nakubaliana na wewe 100% aisee hawa watu wavivu jamani ukioa muhaya jipange, unakuta mtu hana kazi na hafanyi kazi.

Kwani lazima uoe kabila kuu(wahaya) ? Kaoe mzaramo kama vp
 
ukweli unauma kagera iko nyuma mno kimaendeleo
huu ni ujinga uliokataa kukutoka kimakusudi, eti mkoa ww kagera uko nyuma kimaendeleo tuambie basi mkoa wako ulio mbele una maendeleo gani ya kuringia, kagera ndo mkoa wenye majanga mengi kuliko yote tz stll sifa yake haikauki midomoni mwa watu.yes mimi ni mhaya kamili na lazima nitetee cha kwetu.halafu humu jf kuna mapoyoyo kibao badala ya kutoa thread zinazojenga umoja wanatoa zile zinazobomoa. umasikini wa mkoa wowote humu tz ni umasikini wa nchi nzima.
 
binafsi nimefka kagera misenyi,karagwe ngara na bukoba
maendeleo yako duni mno
pale stand ya bukoba tu n kielelezo tosha kuwa mpo nyuma haihitaji degree
pia kwa mujibu wa takwimu mkoa wa kagera n wa tatu kwa umaskin
umasikini wetu unachangiwa na watu kama nyie wenye roho za bundi yaani unaona fahari kusema mkoa wetu/wako still sote ni watanzania??? hao wachawi umejuaje kama wewe sio mchawi? we kwa kweli upo duniani kwa bahati mbaya sana.
 
mbona unataka kupingana na takwimu za kitaifa za hali ya umasikini nchini? KAGERA inashika nafasi ya tatu kwa umasikini Tanzania.
Hiyo kagera hapo
Screenshot_2018-05-01-07-33-30.jpg
 
Ukizungumza Kilimanjaro kama mkoa usisahau maeneo yote ya Upareni halafu ndo useme . Uchagani kwa maana ya Marangu , baadhi ya maeneo ya Rombo , Kibosho , Uru na old Moshi ndo kuna hiyo miundo mbinu kwenye baadhi ya maeneo lakini Upareni panahitaji tu kuhurumiwa .
Ndugu zangu wana JF mimi nadhani hakuna mkoa hapa Tanzania ambao uko vizuri . Mtazamo wa jumla kama nchi bado kuna umasikini wa kupindukia . Kuna kazi kubwa ya kufanya kufikia maendeleo ya uhakika .
Mleta mada aliamua tu kuleta mada ili kusikia matusi watakayotukanwa Wahaya , maana nafikiri ndo kabila linawezakuwa linaongozwa kwa kuchukiwa humu JF . Inawezekana wahaya ndo sababu ya nchi kutokuendelea . Labda wanastahili matusi wanayotukanwa . Sina uhakika . Mungu tu Aziangazie akili zetu tupate maendeleo badala kumalizia stresses zetu kwa kabila moja .
Katika mikoa yenye ahueni ya umaskini ukitoka dar kilimanjaro takwimu za taifa siyo maneno tu
Screenshot_2018-05-01-07-33-30.jpg
 
Halafu kitu kingine wahaya ninachowashangaa wanapenda sana kusema wanatokea bukoba badala ya kusema wanatokea kagera sijui kwanini hawapendi kulitaja hili neno kagera wao wanang'ang'ania sisi kwetu bukoba.

Kitu kibaya zaidi ukiwambia wakupeleke kwao bukoba unashangaa wengi wanashukia muleba wanaingia vijijini uko mpka unafika bukoba mjini mnajikuta waliobakia wengi ni wamanyema watu tokea congo ndio wenye bukoba yao ila cha kushangaza wahaya walivyo wa ajabu hawezi kukuambia anatokea muleba yeye atakwambia kwao ni bukoba na wanasema hivyo kwa sababu muleba hakuna maendeleooooooo
Mkuu, kwanza suala la kujiuza halina uhusiano kabisa na wahaya, hata wewe unaweza kuwa mwizi na usiwe mchaga, ila unaweza kujifanya mhaya ili yako yaende utakavyo, pili ishu ya wahaya kutaja bukoba, hiyo ndo sehemu maarufu kama ilivyo Moshi, Songea, Sumbawanga, hadi leo kuna baadhi ya watu wanaamini Moshi, Songea na Sumbawanga ni mkoa, hivyo mtu akisema anatokea bukoba, muulize zaidi anatokea sehemu gani, as Karagwe, muleba, biha'lo, kyelwa, na zamani chato, ilikuwa inakuwa referred kama bukoba ili kurahisisha utambulisho, kuliko nikisema natokea ngara, utaanza kuuliza iko mkoa gani! Anyway, Bukoba na bukoba vijijini maisha yao na struggle zao ni tafauti sana na hayo maeneo uliyotaja, kula ugali bukoba ni symbol ya umasikini, don't play with haya na kuwalisha vyakula vya mifugo, [HASHTAG]#kidding[/HASHTAG][emoji1] [emoji1]
 
mkuu pale bukoba mjin n kichekesho,stand kuu yao imejaa mashimo matupu na vumbi,hauna hotel ya maana,pia mji hauna daladala bodaboda ndio daladala zao sasa hii misifa yao vjui nn
pia kwa mujibu wa takwimu kagera n mkoa wa tatu kwa umaskin
Boss bukoba umeishia stand tu? Umetembelea wapi kwingine? How comes walaumiwe wahaya kwa ubovu wa stand na sioni mkisifia wazaramo kwa kuleta mwendokasi?
 
achana na ya kyakairabwa
hivi pale stand kuu jins palivyo hovyo bado mnajitia kujisifia Sifia?
muleba kule kuna hali ngumu,miseny nyumba za nyasi shaz,karagwe usiseme achen misifa boreshen makaz,heshima ya MTU n nyumba
Walikufanya nn wahaya mkuu mbona unaomekana kuwachukia hivyo
 
Back
Top Bottom