pmuta
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 787
- 600
Nivizur kutoka hata nje ya nchi kidogo kuliko kukaa ndani nenda Kampala jiji kubwa na zuri lakin bodaboda za kitosha ,nenda Lagos Badobodaboda za kutosha ivo usishangae bodaboda stand.Hata jiji jipya la Dodoma ambapo panategemewa kuwa na stand mpya kubwa na yakisasa kuliko zote East and central Africa bado ramani yake ina parking maalum ya pikipiki na bajaji.stand hujengwa kwa mapato ya ndan ya halmashaur husika,hela zenu mnapeleka wapi?