Historia ya Kabila la Wahaya

Historia ya Kabila la Wahaya

Mtu mzima mwenye akili timamu hawezi kula tunda (ndizi) na kufanya ndo chakula, umekuwa nyani? Ugali ni chakula halisi si cha mtanzania tu bali 80% ya waafrika wanakula na kupenda ugali. Muhaya anakula tunda na maharage au akiona kachanganikiwa atakula tunda na samaki sato. Kwa kifupi, Wahaya hawajuwi kupika....mapishi yao ni mchemsho tu wa maharage na tunda la ndizi ama tunda la ndizi na samaki tu.
haswaa
 
@kiben10_original
@katerero_01

Wahaya walitokea Afrika Kaskazini na kupitia Uganda na hatimaye kuanza maisha katika eneo la Kagera kaskazini magharibi mwa Tanzania
Wahaya ni moja ya makabila yaliyojaliwa wanawake wazuri na wenye maumbo na shepu nzuri pamoja na tabia.
Lugha, Tamaduni,chakula (Ndizi) ya watu wa kabila hili inafanana sana na ile ya jamii ya wanyankole wa nchi jirani ya Uganda

Wahaya walianza kutambiana toka zamani na kigezo kikubwa ilikuwa ni kuwa na elimu bora “inye nsomile” maana ya “Mimi nimesoma” na huu ukawa mwanzo wa makabila mengine kuwaita “NSHOMILE”

Wahaya ni mkusanyiko wa makabila saba,ambayo ni
waziba,
wahamba
wanyambo,
wanyaiyangilo,
wayoza
waendangabo
wakala.

Ni mkusanyiko kwa maana haya ni makabila kamili sio makabila madogo madogo kama watu wengi wanavyofikiria.

Hayo makabila kila moja ilikuwa ni dola kamili iliyokuwa na mamlaka kamili katika nyanja zote za kiutawala,kijamii,kisiasa kiuchumi na kijeshi.Na kila dola lilikuwa na mipaka isiyoingiliana na dola jingine na iliyolindwa barabara.

Senene ni chakula cha heshima kwa wahaya toka zama za kale

Jamii hii ilikuwa na utawala wa wa koo na mtawala mkuu aliitwa Mukama

Alitokana na ukoo maalumu uliotoa mukama kila dola ilikuwa na koo tofauti zilizizotoa Bakama,Waziba ukoo uliotoa

Bakama ni ukoo wa Babiito.Wanyambo,Wanyaiyangilo na Wahamba ukoo wa Bakama ni Bahinda.

Hawa watawala walikuwa na mamlaka kamili kila mmoja kwenye dola lake bila kutegemea mtawala wa dola jirani.Mara nyingi dola hizi zilikuwa na migogoro ya mipaka iliyopelekea kutokea vita baina ya dola moja na nyingine.

Lugha za kila kabila zilifanana sana isipokuwa kulikuwepo na tofauti kubwa katika lahaja na tofauti ya baadhi ya maneno mfano maharage waziba na wanyambo wanaita biimba na makabila mengine wanaita mpelege. Pia kuna tofauti katka mila na desturi kutoka kabila moja na kabila jingine.

Kwa asili hakuna kabila mojalinaloitwa wahaya,hili jina limeundwa na wakoloni wa kijerumani.Wamekusanya makabila saba yenye lugha, mila na desturi zinazoshabihiana wakaliita kabila mmoja wahaya.Kwa kawaida kila kabila huwa lina mtemi wake au kiongozi mkuu wa kabila kwa kabila hili lililoitwa wahaya halina kiongozi wa aina hiyo.

MAJINA YA WAHAYA

Mtoto wa kwanza anaweza kuitwa Kokubanza, kokutangilila, Lubanzibwa Kalimuna

kama mtoto angezaliwa baada ya wazazi kukaa muda mrefu bila kupata mtoto, mtoto aliyezaliwa aliitwa ama Mushumbusi, Shumbusho, Rwezaula, kukulingilila, kokumalamala au Mkaanguki

Kama baba angekufa akamwacha mke wake ana mimba, mtoto aliyezaliwa aliitwa Kabwanga wa kike, kasigwa au kashangaki wa kiume

Pacha wa kiume aliyezaliwa kwanza aliitwa Ishengoma au Kakulu wa kike aliitwa Nyangoma, Pacha wapili kama ni wakiume aliitwa Kato. Wa kike alitwa Nyakato

Mtoto aliyezaliwa akiwafuata mapacha wakiume aliitwa Kyaluzi wa kike aliitwa Mkabaluzi

Kwa wahaya mapacha si tu watoto wanaozaliwa wawili, hata mtoto mmoja anayezaliwa kwa kutanguliza miguu huitwa pacha tena huyu ndiye huitwa pacha halisi. Kwa wahaya huita ‘eilongo alikulu’

Majina mengi ya kike huanza na KOKU mfano Kokushubila, kukoshobokelwa, Kokugonza nay a kiume huanza na Ruta kama Lutakulembelwa, Lutanywana, Lutasingwa

Kuna matumizi ya herufi ya R na H katika lugha ya luhaya sijayaelewa vizuri maana katika kuongea kwa wahaya uwezi kusikia mtu anajiita muhaya utamsikia anajiita muaya, utasikia anajiita Lweyemamu sio Rweyemamu

Wanawake wa Kihaya hutakiwa kulima heka za Maharagwe kwa ajili ya matumizi ya kaya yake na hawapaswi kusaidiwa na mumewe hata kama ni heka 10

MAJANGA YALIYO WAKUMBA WAHAYA

Majanga yanayozungumziwa mara kwa mara ni vita ya Idd Amin, ugonjwa wa UKIMWI , kuzama kwa meli ya MV BUKOBA, anguko la bei ya kahawa na kwa sasa tetemeko la ardhi

Ni matumaini yangu kwamba umejifunza kitu kupitia historia hii fupi.
FB_IMG_1533305457837.jpg
 
ongeza picha kwenye huu uzi ili kuleta mvuto wa kusoma,habari ndefu harafu haina picha zakutuburudisha ni kutuchosha vichwa mzee,ingawa ni habari nzuri na kuvutia,weka picha za warembo wa huko na stand ya bukoba na mazingira yake,hapo utakuwa uzi umekamilika..
 
Ni matumaini yangu kwamba umejifunza kitu kupitia historia hii fupi.View attachment 826004
Mmh!! Wahaya kutokea kaskazini ya Africa kupitia Uganda?"the Bantu speaking people migrated from Cameroon via Congo in about 500A.D and settled along interucustrine region because most of them were agriculturalists and kept some cattles" ancient Africa Omar Cooper......wahaya sio Bantu speaking people? Waziba ndo kabila azilishi ya kabila is wahaya wengi wako Uganda sehemu iitwayo kooki na wana omukama wao sababiito na ufalume wao bado upo, wanyabo ni wahutu kutoka Rwanda, intermarriage ya wa ziba wanyarwada na warundi ndo, wahaya wasasa hamna kabila liitwayo wahaya wengi niwahamiaji wahiari.
 
*MAMBO YA WANASHERIA
Baada ya kumaliza Degree yake ya Sheria, Bwana Rwegashora aliamua kurudi nyumbani Bukoba Mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya huduma kwa wateja.
Siku moja akiwa ndani ya ofisi yake, Alimwona dada mmoja mtanashati na mrembo anakuja ofisini kwake. Akajua ni mteja anamletea kesi .
Ndipo akanyanyua mkono wa simu ya TTCL na kuanza kuongea huku anajizungusha kwenye kiti cha kuzunguka.
Wakati dada alipokaribia. Rwegashora alimkaribisha kwa ishara maana alijifanya yupo busy na kuongea na simu muhimu.
Wakati anaongea na simu, Alisikika akisema *NO, NO, NO, ......Absolutely NO.*
Wajulishe hao lay persons wa New York kuwa siwezi kushughulikia kesi ambayo itanilipa chini ya Shillingi 50 Million.
Mimi ni Professional lawyer and I'm crossing the border to serve international community.
Akapozi kidogo na akanywa maji, Kisha akaendelea. .........
Naweza kuanza kukusanya Primary evidence next week . But tell them, Watume kwanza ten Million kwa kuanzia. .....
Hahahahaha
You don't know my Account Number, Mr. Roger? Ok.
Waambie Watume kwenye Account ile ile waliyonitumia Million 100 last month. .............
Akapozi tena akinywa maji na kurekebisha tai yake, Kisha akaendelea. ....
Ok,Usisahau kumueleza Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Marekani kuwa nitakuja New York mwezi ujao. Maana nitapitia kwanza Amsterdam kuwasilisha utetezi wa yule mteja wangu Mholanzi.
Kisha nitaenda Tokyo kulipia ile gari yangu niloagiza.
"Wakati anaongea hayo yote, Yule dada alikuwa ametulia na anamwangalia Bwana Rwegashora anavyojizungusha kwenye kiti chake na kujinasibu huku akiongea kwa tambo kwenye ile simu ya TTCL ."
Baada ya kumaliza kuongea na simu Bwana Rwegashora aliweka mkono wa simu ya TTCL chini. Kisha akamgeukia dada mrembo.
Samahani sana kwa kukupotezea muda wako, Unajua tena kazi zetu zinaumiza kichwa sana. Kama unavyoona mwenyewe Yaani nipo busy sana...!
Ninapokea simu nyingi sana mpaka nimechoka. Simu nyingi ni za wateja wa nje ya nchi.
Anyway nikusaidie nini?
Mdada akajibu:- Mimi ni mfanyakazi wa TTCL nimekuja kuunganisha line yako ya simu kwani haipo hewani tangu wiki iliyopita
Hahaha hahaha haha
Najua utatamani kuiona sura ya Bwana Rwegashora ilikuwaje.
Duh
# Wahaya Mungu Anawaona.
 
Mbona wahaya kama hao sijawahi kuwaona live naona wachekeshaji tu wakina mpoki ila wahaya kama hao sijawahi ona hata hapa bukoba hawapo
 
Mademu wa kihaya
chaga.jpg
 
Attachments

  • Malaika%20_0.jpg
    Malaika%20_0.jpg
    34.7 KB · Views: 203
Sasa usiombe muhaya ukute kachanganya na mwarabu bonge la shombe shombe la Dunia
 
kiben10 usitulazimishe kujuwa kabila la watu wazima (watu wasiotahiriwa), kwetu ni laana kuongea au hata kumjuwa mtu mzima na ukifanya hivyo jamii inakususa. Mwanamme lazima upitie jando na ukandwe.
 
Mimi si Muhaya..Kumbuka kila jamii inastahili kueshimiwa cha msingi watu watabadilika kulingana na mambo yanavyobadilika..
 
Back
Top Bottom