Historia ya kabila la Wakurya

Funguka vitu vyao vya asili, toghwa, entobheke, ubhughoghi, masikio kutobolewa na baadhi ya mambo kama ekebhondo nani anapaswa kula bado mambo ni mengi mkuu. Najivunia kuwa mkuria.
 
Nasikia nyie mna watani wengi sana ,naomba unitajie makabila ambayo ni watani wenu halafu kwanini ?
 
Inaonekana Wakurya ni watiifu sana kwa mila na desturi hata kama ni Wakristo au Waislam?

Kwanini nimesema hivyo? Niliwahi kuwa na mchumba wa Kikurya, mdada mmoja graduate, ambaye nilikuwa na date naye tangu tuko chuoni. Kwao ni pale Rebu, Tarime. Basi baada ya muda niliamua kwenda Rebu kujitambulisha na kuanza mchakato wa kubeba mzigo jumla.

Aisee kilichonipata sitakisahau asilani. Wazazi wake walipobaini natoka kabila X, tena nje ya Lake Zone, waligoma. In short, walinikataa kwa sababu ya kabila langu. Nilimwuliza Bhoke wangu (siyo jina lake halisi) anasemaje kuhusiana na msimamo wa wazazi wake, hasa baba yake. Akasema "Ukuryani ni vigumu sana, na haikubaliki, kwa binti kwenda kinyume na msimamo wa
wazazi wake" , nikasema duuuh imekula kwangu.

Nikamwuliza tena, how could a graduate, and yet a Christian girl, take such a stand in the 21st century against a marriage proposal from boy of the same faith on the grounds of cultural norms? Akasema, hata yeye inamuuma ila hana namna isipokuwa kumtii baba yake.

Anyway,namshukuru Mungu, maana baada ya 'vumbi' kutulia, aliniwezesha kupata mke and we're happily married. Ila yule Bhoke nilikuwa nampenda jamani!
 
Safi kabisa. Umetupa mwanga kuhusu Wakurya.
 
Naomba kufahamu utofauti wa Kabila la Wakurya na Wangoreme, hafu ni kwanini Mkurya akioa haswa Tanga au Arusha anakuwa na upendo usio wa vurugu kuliko mkioana ninyi?
 
vp kuhusu kichuri
 
Uko vizuri Mmbaba lkn lile jina
Mgaya - Mjakazi/Mtumwa.
 
Naomba kufahamu utofauti wa Kabila la Wakurya na Wangoreme, hafu ni kwanini Mkurya akioa haswa Tanga au Arusha anakuwa na upendo usio wa vurugu kuliko mkioana ninyi?

Huyo takuwa kaolewa hajaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…