Historia ya kabila la Wakurya

Safi sana weito.. bila shaka nawe ni mkurya maana umegusa mule mule.... Ukuryani kama hujapata tohara iwe ni mwanamke ama mwanaume utaishi kwa shida sana.. maana utaonekana kuwa bado hujakua..
 
Kazi Ya Kabila Ni Nini Karne Ya 21

Labda Kutambika Tu

Wanakuja wapumbavu kuwaponda kuwa ni wauza mayai tu Dar ilihali wamelea familia, wamesomesha, kujenga makazi na kumiliki hata usafiri sababu ya kazi hizo hizo zinazoonekana si kitu.
 
Wanakuja wapumbavu kuwaponda kuwa ni wauza mayai tu Dar ilihali wamelea familia, wamesomesha, kujenga makazi na kumiliki hata usafiri sababu ya kazi hizo hizo zinazoonekana si kitu.
Walimwengu wengine unawapuuza tu
 
Safi sana weito.. bila shaka nawe ni mkurya maana umegusa mule mule.... Ukuryani kama hujapata tohara iwe ni mwanamke ama mwanaume utaishi kwa shida sana.. maana utaonekana kuwa bado hujakua..
Asante Mimi hao ni majirani hivyo nawafahamu
 
Kaskazini mashariki
Kusini mashariki mwa Kenya???

Msamiati mpya kaskazini mashariki mwa Kenya? Ndipo wakurya wana patikana?

Sio kweli...

Kuna mtandao mmoja una hii taarifa umekopi kama zilivyo ndio tatizo umeshindwa kufanya masahihisho au kujua alikusudia nn muandishi
 
Nyangi ni sherehe sio harusi pekee.

Sherehe yoyote ile ni nyangi, iwe tohara, iwe harusi au ugeni wowote unaombatana na sherehe hiyo nyangi
 
Kazi Ya Kabila Ni Nini Karne Ya 21

Labda Kutambika Tu

Asili haiondoki, kibaya kuwabagua watu kwa sababu sio wakurya wenzio au kuwatenga watu kwa sababu hawatoki kabila lako.

Otherwise kila mtu ana kabila lake, kama huna kabila uliza wazazi wako kama hawana kabili ujue hao hawajielewi tu.
 
Hivi hawa Wanchari na Warenchoka siyo mojawapo ya ethnic droups za wakurya?
Halafu Mura nani amekupa ruhusa ya kureta taarifa zetu humu jukwaani bira ya kuwa umetuuriza mura?
Mura kuna mambo mengine unachangamkia siku moja yatakuja kukuretea matatizo mura................................ l.o.l
 
Mbona Baikoma ni Kama asili yao ni wasonjo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…