Historia ya kabila la Wakurya

Wakurya ni muunganiko wa vikabila vidogovidogo visivyopungua 20, hivyo unaweza ukakutana na mkurya wa kikabila kidogo Cha wangoreme au wasimbiti ukajua sio wakurya kumbe ni wakurya tena pure. Mimi ni mkurya hivyo hivi vikabila vidogovidogo ndo vinaunda kabila kuu moja (wakurya) usipokuwa makini utadanganywa.
 
Kuna mtu mmoja anaitwa Chacha, ye anakwambia sio mkurya, ni msimbiti..ukimuuliza mbna jina chacha ni la kikurya, anakwambia ni jina tu alipewa halihusian na kabila lake... Nikashangaa..
 
Wasimbiti hawana katika matamshi yao hawana 'Cha' wana Sha kwa hiyo jina la Chacha wao wanaita Shasha
 
Kuna mtu mmoja anaitwa Chacha, ye anakwambia sio mkurya, ni msimbiti..ukimuuliza mbna jina chacha ni la kikurya, anakwambia ni jina tu alipewa halihusian na kabila lake... Nikashangaa..
Braza wasikulishe matango pori, hao wasimbiti ni
Kuna mtu mmoja anaitwa Chacha, ye anakwambia sio mkurya, ni msimbiti..ukimuuliza mbna jina chacha ni la kikurya, anakwambia ni jina tu alipewa halihusian na kabila lake... Nikashangaa..
Wasikulishe matango pori kaka hao wasimbiti ni wakurya pure. Vifwatavyo ni baadhi ya vikabila ndani ya kabila la wakurya.
1 Wairegi.
2 Wasimbiti.
3 wanyabasi.
4 wanyamongo.
5 wasweta.
6 warenchoka.
7 waikoma.
8 wanchari.
9 watimbaru.
10 wamera.
11 wakeroba.
12 wakenye.
13 Wakiira.
Hapo nimetaja baadhi tu.
 
Hapa sasa inaleta sense.. ni koo mbalimbali zinazounda kabila moja kubwa.[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…