justin mwanshinga
Senior Member
- May 22, 2014
- 179
- 621
WAHADZABE au WATINDIGA
Ni kabila ambalo kwa kiasi fulani bado wanaishi maisha yale ya ujima . Wao bado wanategemea asali , matunda , mizizi na nyama kama chakula kikuu . Bado wanaishi mapangoni na kwenye vibanda vya muda mfupi . Kwao Bangi Ni kama chai, Bangi Ni muhimu na lazima, zaidi Bangi huvutwa kwa jinsia zote na kwa rika zote .
Wanapatikana kwa wingi Arusha wilaya ya karatu kijiji cha kisimangeda bonde la mang'ola hasa kuzunguka ziwa Eyas . Pia mkoa wa manyara wanapatikana wilaya ya mbulu halmashauri ya mbulu vijijini sehemu za Mongowamono, Domanga na Yaeda chini. Na tena wako mkoa wa Singida wilaya ya Mkalama kijiji cha munguli na mwisho wanaishi mkoa wa simiyu wilaya meatu kijiji cha Iramba ndogo.
Kwa 98% wanaishi maporini wakiwinda zaidi ikiwa ndio njia kuu ya kupata chakula.
Mwanshinga Jr