Historia ya Komandoo Tarimo

Mimi namkumbuka komando halisi TAMIM!! Wangapi mnamkumbuka huyu na alifanya nini? Hint: Unamkumbuka uncle Tom? Haya vijana somo la historia ya nchi yenu, waulizeni wazee wenu waliohai!!

Yap! Hao ndo walikuwa makomandoo
 

hii stori tamu sana, najuta kuwa mkimbizi, yote siku yafahamu awali bali kwa msaada wa JF angalau napata kamwanga kidigo
 
Ama kweli nazidi kumkubali mchaga,Komandoo Tarimo..??Hivi kuna fani ambayo hakuna mchaga wakuu?
 
Komando njau yupo.
Teh teh teh lazima sasa hivi atakuwa jambazi sugu duh Jina hilo la kirombo limeniacha hoi et Komandoo Tarimo, hahahaha atatokea mwingine atajiita komandoo Mushi hahahaa mara komandoo njau eehehehe
 
Hakuna komandoo dunia hii anaitwa Tarimo...kina Tarimo wafanya biashara Arusha na Mwanza. Ukomandoo wapi na wapi?
 
Mimi namkumbuka komando halisi TAMIM!! Wangapi mnamkumbuka huyu na alifanya nini? Hint: Unamkumbuka uncle Tom? Haya vijana somo la historia ya nchi yenu, waulizeni wazee wenu waliohai!!

Mimi nafikili alikuwa anataka kuzungumzia kuhusu TAMIM siyo TARIMO, sasa kam hajuhi jina lake anawezaje kuandika chochote kuhusu huyu jamaa!1
 
Naikumbuka sana ile kesi ya uhaini, mwaka 1985. Walikuwa wanatoa kwenye magazeti mabishano kati ya jamhuri na wakili wa washtakiwa, wakili maarufu sana wa wakati ule Murtaza Lakha.
 

project yako iliishia wapi ndugu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…