Historia ya Komandoo Tarimo

Historia ya Komandoo Tarimo

kama kuna mtu anataka kuujua ukweli amtafute zakaria hans pop yeye na marehem kaka yake na akina tamim na eugen maganga na yule mwalim ndio walipanga kupindua nchi anajua mengi sana wale walikua wanaume wa shoka nyerere na ubabe wake lakini ilikua bado kidogo tu wampindue zakaria anajua mengi zaidi
 
Anyway Basi Tufanye Wote Hao Siyo Makomandoo Bali Komandoo Ni Paul Kagame Peke Yake. Je Na Huyu Nae Utasemaje? Twende Sawa.

bwana mdogo unarukaruka kama unataka kutaga kuna vitu hujui kubali uelimishwe, umehamia kwa kagame huyo paulo kagabo kagame, fred rwigema, kaguta museven, patrick karejea woote wameandalia na kufundishwa na sisi kwenye ardhi hii we mjinga utaishia kubwabwaja usoyajua
 
Huna Uwezo Wa Kumfundisha Kagame Wewe Na Acha Kutaka Kupata KIKI Humu Kwa Kujifanya Wewe Ndiyo Mjeda Wa Uhakika TPDF, au Wewe Ndiyo Yule Mr. Misifa Mwakibolwa? Halafu Ulivyo POPOMA Hata Tu Majina Yao Umekosea Kuyataja Na Huyajui Pia.

Angalia Sasa Unavyoumbuka Humu Na Watu TUNAKUSANIFU Tu Na KUKUCHEKA! Kwa Kukusaidia Tu Rwanda Hatuna Mtu Aitwae Fred Rwigema Wala Patrick Karejea Bali Tuna Watu Waitwao Fredrick Rwigyema Na Patrick Karegeya. Siku Nyingine Ukija Humu Jamvini Ujikamilishe Vizuri Vinginevyo Utakuwa UNAJICHORESHA Tu Kwa Akina GENTAMYCINE.
 
Huna Uwezo Wa Kumfundisha Kagame Wewe Na Acha Kutaka Kupata KIKI Humu Kwa Kujifanya Wewe Ndiyo Mjeda Wa Uhakika TPDF..........au Wewe Ndiyo Yule Mr. Misifa Mwakibolwa? Halafu Ulivyo POPOMA Hata Tu Majina Yao Umekosea Kuyataja Na Huyajui Pia. Angalia Sasa Unavyoumbuka Humu Na Watu TUNAKUSANIFU Tu Na KUKUCHEKA! Kwa Kukusaidia Tu Rwanda Hatuna Mtu Aitwae Fred Rwigema Wala Patrick Karejea Bali Tuna Watu Waitwao Fredrick Rwigyema Na Patrick Karegea. Siku Nyingine Ukija Humu Jamvini Ujikamilishe Vizuri Vinginevyo Utakuwa UNAJICHORESHA Tu Kwa Akina GENTAMYCINE.

Brigedia Gen Gentamycine kuna siku utaangukia pua sasa Kama umekosea si ukubali tu kukosolewa
 
Huna Uwezo Wa Kumfundisha Kagame Wewe Na Acha Kutaka Kupata KIKI Humu Kwa Kujifanya Wewe Ndiyo Mjeda Wa Uhakika TPDF..........au Wewe Ndiyo Yule Mr. Misifa Mwakibolwa? Halafu Ulivyo POPOMA Hata Tu Majina Yao Umekosea Kuyataja Na Huyajui Pia. Angalia Sasa Unavyoumbuka Humu Na Watu TUNAKUSANIFU Tu Na KUKUCHEKA! Kwa Kukusaidia Tu Rwanda Hatuna Mtu Aitwae Fred Rwigema Wala Patrick Karejea Bali Tuna Watu Waitwao Fredrick Rwigyema Na Patrick Karegeya. Siku Nyingine Ukija Humu Jamvini Ujikamilishe Vizuri Vinginevyo Utakuwa UNAJICHORESHA Tu Kwa Akina GENTAMYCINE.

wakiwa katika kambi ya wakimbizi wa kitusi maeneo uganda magaribi paulo kagabo kagame wamesoma,kucheza na kukua pamoja fred rwigema huyohuyo fred ndie alimpeleka kagame kumtambulisha kwa kaguta ili waende mafunzoni tz pamoja, wakati wa harakati za ukombozi kupitia rpf general fred rwegema ndio alipewa dhamana ya kuongoza mapambano na baraza la wazee wa rpf kipindi hicho paul kagame alikua marekan mafunzon huko langley wanapaita the farm, rwegema aliuawawa na akina kanali bayingana baada ya kuingia rwanda alisalitiiwa kwa uchu wa madaraka, salim salehe aka the fire alitumwa kumuua bayingana huku museven akiwaomba cia wamruhu paul arudi haraka kuongoza mapambano alipitia mpaka wa kajitumba wakati kayumba nyamwasa, theogene, rudasingwa na patrick karejea walipitia gatuna acha kuudanganya umma huna dam ya kinyarwanda lazima ungemjua shujaa fred rwigema hakuna mnyarwanda zuzu kama ww, ni wajomba zangu wa dam, nawajua zaidi ya wowe umusazi urantsinzi ijituba cya nyoko wowe umunyamahanga
 
endelea kujidanganya...tafuta kina komandoo gorilla ni wa wapi ndo uache kupayuka

Teh teh teh...Haya Commando Tarimo. Miaka zaidi ya miwili sasa imepita. Kitabu au article yako inatoka lini? Usiogope kuwa challenged...ndio sehemu ya kukua kwetu kama wanadamu
 
wakiwa katika kambi ya wakimbizi wa kitusi maeneo uganda magaribi paulo kagabo kagame wamesoma,kucheza na kukua pamoja fred rwigema huyohuyo fred ndie alimpeleka kagame kumtambulisha kwa kaguta ili waende mafunzoni tz pamoja, wakati wa harakati za ukombozi kupitia rpf general fred rwegema ndio alipewa dhamana ya kuongoza mapambano na baraza la wazee wa rpf kipindi hicho paul kagame alikua marekan mafunzon huko langley wanapaita the farm, rwegema aliuawawa na akina kanali bayingana baada ya kuingia rwanda alisalitiiwa kwa uchu wa madaraka, salim salehe aka the fire alitumwa kumuua bayingana huku museven akiwaomba cia wamruhu paul arudi haraka kuongoza mapambano alipitia mpaka. wa kajitumba wakati kayumba nyamwasa,,theogene.rudasingwa na patrick karejea walipitia gatuna acha kuudanganya umma huna dam ya kinyarwanda lazima ungemjua shujaa fred rwigema hakuna mnyarwanda zuzu kama ww, ni wajomba zangu wa dam, nawajua zaidi ya wowe umusazi urantsinzi ijituba cya nyoko wowe umunyamahanga
Yemwe yemwe.kub'eli chi,mwashaka kurwana?nago ili'mbyiza!
 
kwa wanaopenda walau kupata taarifa kwa ufupi ya nini kilichotokea gonga hapa
Mwafrika: Jan 9, 1982. A coup that never was. And its aftermath

Kuna mapungufu makubwa sana katika ufundishaji wa Historia ya Tanzania. Pamoja na kwamba nimesoma Historia had ngazi ya chuo kikuu leo ni mara ya kwanza kujua kwamba kulikuwa na mpango wa mapinduzi ukioshindwa.

Pamoja na kusoma History of Tanzania na Economic History of Tanzania bado mambo haya hayakugusiwa popote. Learning is life long process.
 
Kuna mapungufu makubwa sana katika ufundishaji wa Historia ya Tanzania. Pamoja na kwamba nimesoma Historia had ngazi ya chuo kikuu leo ni mara ya kwanza kujua kwamba kulikuwa na mpango wa mapinduzi ukioshindwa. Pamoja na kusoma History of Tanzania na Economic History of Tanzania bado mambo haya hayakugusiwa popote. Learning is life long process.

pia kuna nchi ishawahi zaliwa hapahapa tz iliitwa jamhuri ya chui na rais wake aliitwa nyamakanya. ni historia ya kweli kabisa
 
wakiwa katika kambi ya wakimbizi wa kitusi maeneo uganda magaribi paulo kagabo kagame wamesoma,kucheza na kukua pamoja fred rwigema huyohuyo fred ndie alimpeleka kagame kumtambulisha kwa kaguta ili waende mafunzoni tz pamoja, wakati wa harakati za ukombozi kupitia rpf general fred rwegema ndio alipewa dhamana ya kuongoza mapambano na baraza la wazee wa rpf kipindi hicho paul kagame alikua marekan mafunzon huko langley wanapaita the farm, rwegema aliuawawa na akina kanali bayingana baada ya kuingia rwanda alisalitiiwa kwa uchu wa madaraka, salim salehe aka the fire alitumwa kumuua bayingana huku museven akiwaomba cia wamruhu paul arudi haraka kuongoza mapambano alipitia mpaka. wa kajitumba wakati kayumba nyamwasa,,theogene.rudasingwa na patrick karejea walipitia gatuna acha kuudanganya umma huna dam ya kinyarwanda lazima ungemjua shujaa fred rwigema hakuna mnyarwanda zuzu kama ww, ni wajomba zangu wa dam, nawajua zaidi ya wowe umusazi urantsinzi ijituba cya nyoko wowe umunyamahanga

Watutsi Hatujawahi Kuwa Na Mjomba POPOMA Kama Wewe Na Acha Kabisa Kujipendekeza Kwa Sisi Wanyarwanda Hatukutaki Tuache!
 
huo ndio ukweli mkuu mambo mengi katika kufundisha hajagusiwa, je unajua kuwa kuliwai kutokea riot katika jeshi na ingewezekana Nyerere akapinduliwa ilikuwa ni ghasia ya kijeshi hadi Nyerere akakimbia nchi jeshi la Uingereza ndilo lilikuja kutuliza ghasia hizo na baada ya hapo Nyerere alifanya mabadiliko makubwa katika jeshi kwa kuondoa wazungu na kuwapa uongozi Waafrika?

Hii huwezi isoma darasani.
 
Wadau niko njiandaa kuandika historia ya komandoo wa kitanzania aliye kuwa akitwa Tarimo, kijana huyu alipata mafunzo yake kule Cuba, na baadae kurejea nyumbani Tanzania.

Je kuna mtu awaye yeyote mwenye ufahamu wa ili Jambo? naomba michango yenu zaidi.

Mleta mada , japo wachangiaji wengi humu wamemtaja Tarimo kama mlevi, muuza supu nk( Kuna watu humu wana chuki na wachaga), ila nakupongeza kwa hii thread. Maana nisingeyajua mapinduzi yaliyoshindwa mwaka 1982. Japo thread imepindishwa, endelea kusubiri, Tarimo atajulikana tu.
 
Back
Top Bottom