Historia ya Komandoo Tarimo

Teh teh teh lazima sasa hivi atakuwa jambazi sugu duh Jina hilo la kirombo limeniacha hoi et Komandoo Tarimo, hahahaha atatokea mwingine atajiita komandoo Mushi hahahaa mara komandoo njau eehehehe

Halafu Mushi yupo maarufu sana uliza watu wa Kizuka
 
Anyway Basi Tufanye Wote Hao Siyo Makomandoo Bali Komandoo Ni Paul Kagame Peke Yake. Je Na Huyu Nae Utasemaje? Twende Sawa.

Ukiambiwa ukweli kubali tu usiwe mbishi,hapo ndiyo utajifunza otherwise ukweli uko pale pale kwamba ulichosema si kweli therefore ni uongo.Hakuna mtu wa kujadili jambo la uongo hapa na hili halihusiani na Kagame kabisaaa,hapa swala ni kwamba rafiki uliyoleta ni sumu na watu hapa wamekataa rudi kasome vizuri.
 
Hahahahaha komando mchaga?? Hebu tupe maelezo ya kutosheleza kuhusu huyu mtu tumfaham angalau kwa uchache. Nmependa kumfaham
 

Wakati huo hanspope alikua wapi au alikua mshika mabegi tu.
 
BRUCE LEE hebu tuelezee kuhusu hyo jamhuri ya chui ilikuaje na ilikua wapi hata ikiwezekana anzishia thread ili hata wale wanaopenda history wajue ukweli uliofichwa kama anavyotudadavulia al ustaadh Mohamed Said tafadhali naomba ukilileta hilo unistue. Vipi mbn pia katika seleka lile hanspope hatajwi sana
 
Last edited by a moderator:

huyu mzee alihasiwa
 
pia kuna nchi ishawahi zaliwa hapahapa tz iliitwa jamhuri ya chui na rais wake aliitwa nyamakanya. ni historia ya kweli kabisa

Tupe japo kwa ufupi hii ya jamhuri ya Chui
 
mmmh mkuu kuhusu taarifa zaid kuhusu komando ni vema zaid utembelee kambi yao inayoitwa 92k ngerengere du utapata yote
 
Utaandkaje hstoria yake wakat hata jna humjui...??? Kuna Mahfudh na Tamim hamna Tarimo labda kwa kizaz kpya cha makomando wa xaxa.
 

nilihadithiwa na babu ilikuwa MARA....
 
Last edited by a moderator:

Ndugu zangu msile kasa huyu! Ana sumu
 


Wewe unamzungumzia Kanali Mahfoudh! ambae huku alionekana msaliti kwa tuhuma za kumuua Karume, lakini Msumbiji ni shujaa wao mkubwa na amezikwa pale katika makaburi ya Mashujaa Maputo, Msumbiji.
 

# team komando kapensi!!!
 
Watutsi Hatujawahi Kuwa Na Mjomba POPOMA Kama Wewe Na Acha Kabisa Kujipendekeza Kwa Sisi Wanyarwanda Hatukutaki Tuache!
Kumbe wanyarwanda mmejaa humu mnaanza kubaguana na kuitana wanyamahanga, mnataka kuleta vita vyenu vya kijinga hapa kwetu wakati nyie ni maboya tu. Eti komando Kagame.. Komando my foot! Halaf mnajifanyaga ni watu wa hadhi ya juu kuliko watu wengine wakati nyie ni mandezi tu. Mbona hamkumwambia mjomba wenu Kagame arushe hata risasi moja mpakani tumfunze adabu? Mmmmmxxxiiuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…