Historia ya Komandoo Tarimo

Una
Kuna Challenges Za Mimi Kuzikubali Na Kujifunza Ila Siyo Kama Hizi Za Ki POPOMA Na Zilizotolewa Na POPOMA. Jitahidi Umrekebishe Nduguyo!
Unajifanyaga unajua kila kitu watu wanakusomaga wanakuona bwabwa tu humu ndani
 
Wakati unaandaa hilo namimi najiandaa kuandika historia ya Brigadia Laizer wa Ilboru, Arusha.

Brigadia hatari na mwenye mbinu na historia kubwa sana ya mapambano Tanzania.
 
ili sio jukwaa la mipasho.
 
Ndinani mbona umeogopa kumalizia? Kweli kaka huyu komandoo alikuwa anaitwa MOHAMED TAMIMU alichofanya ndicho kilisababisha asafiri safari wasiyorudi mnamo miaka ya 1982/83 mwezi sikumbuki
Ndo kisa kilichomfanya Lyatonga Mrema kuvaa bagarashia mpaka leo
 
Teh teh teh lazima sasa hivi atakuwa jambazi sugu duh Jina hilo la kirombo limeniacha hoi et Komandoo Tarimo, hahahaha atatokea mwingine atajiita komandoo Mushi hahahaa mara komandoo njau eehehehe
Hahahaha komandooo Mosha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yuko pale rombo mashati sokoni,anamiliki duka la jumla jumla,na rejareja.
 
Uzi mzuri lkn haujawagusa vizuri mastaa wake Tamim na Mahfoudh
 
As usual ujuaji ila haujui unamuongelea Mahfudhi sio Tamimu ingawa na chumvi umetia
 
kwa wanaopenda walau kupata taarifa kwa ufupi ya nini kilichotokea gonga hapa
Mwafrika: Jan 9, 1982. A coup that never was. And its aftermath
Nimesoma hii link hadi machozi yamenilenga lenga, hasa jamaa alivyo malizia hapo missing...

"...... Still, his personal life doesn’t bother him quite as much as what he calls ‘the mindset of Tanzanians’. “They complain of almost everything but none of them has ever taken any action. They blame us for trying to overthrow the government while most of them would not even dare,” he says.

He told me he was going to bed that night without any food but that didn’t bother him; it would not be the first time. It is when he says, “This country… Nyerere corrupted the mindset of the people.

Very few people can think and take action,” that he wears the mask of disappointment."
 
Mimi baba yangu tu ndo alikuwa komando. Nakumbuka tuko shambani tunalima, mara mbweha wawili wakatokea na kuanza kuvuruta kikapu cha msosi, kilikuwa mbali kidogo chini ya mti, ile anataka kwenda pale kuwatimua, likatokea li nguruwe pori sijui limekimbizwa na mkulima mwingine huko, mimi nikawa katikati sijui kinachoendelea, nimetaharuki tu, aisee yule nguruwe alirushiwa jembe moja hatari likakata uso, ile nageuka nione nani karusha, namuona dingi anamsulubu mbweha kwa jiwe moja hatari.

Ilikuwa ni shidaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…