Historia ya Komandoo Tarimo

Historia ya Komandoo Tarimo

Wadau niko njiandaa kuandika historia ya komandoo wa kitanzania aliye kuwa akitwa Tarimo, kijana huyu alipata mafunzo yake kule Cuba, na baadae kurejea nyumbani Tanzania.

Je kuna mtu awaye yeyote mwenye ufahamu wa ili Jambo? naomba michango yenu zaidi.
Wakati unaandaa hilo namimi najiandaa kuandika historia ya Brigadia Laizer wa Ilboru, Arusha.

Brigadia hatari na mwenye mbinu na historia kubwa sana ya mapambano Tanzania.
 
Huna Uwezo Wa Kumfundisha Kagame Wewe Na Acha Kutaka Kupata KIKI Humu Kwa Kujifanya Wewe Ndiyo Mjeda Wa Uhakika TPDF..........au Wewe Ndiyo Yule Mr. Misifa Mwakibolwa? Halafu Ulivyo POPOMA Hata Tu Majina Yao Umekosea Kuyataja Na Huyajui Pia. Angalia Sasa Unavyoumbuka Humu Na Watu TUNAKUSANIFU Tu Na KUKUCHEKA! Kwa Kukusaidia Tu Rwanda Hatuna Mtu Aitwae Fred Rwigema Wala Patrick Karejea Bali Tuna Watu Waitwao Fredrick Rwigyema Na Patrick Karegeya. Siku Nyingine Ukija Humu Jamvini Ujikamilishe Vizuri Vinginevyo Utakuwa UNAJICHORESHA Tu Kwa Akina GENTAMYCINE.
ili sio jukwaa la mipasho.
 
Ndinani mbona umeogopa kumalizia? Kweli kaka huyu komandoo alikuwa anaitwa MOHAMED TAMIMU alichofanya ndicho kilisababisha asafiri safari wasiyorudi mnamo miaka ya 1982/83 mwezi sikumbuki
Ndo kisa kilichomfanya Lyatonga Mrema kuvaa bagarashia mpaka leo
 
Teh teh teh lazima sasa hivi atakuwa jambazi sugu duh Jina hilo la kirombo limeniacha hoi et Komandoo Tarimo, hahahaha atatokea mwingine atajiita komandoo Mushi hahahaa mara komandoo njau eehehehe
Hahahaha komandooo Mosha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uzi mzuri lkn haujawagusa vizuri mastaa wake Tamim na Mahfoudh
 
Huyo Commando TAMIM Kwa Shughuli Yake Ilivyokuwa Pevu Na Alivyo Mahiri Ktk Fani Hiyo Hadi Alipewa Heshima Na Serikali Ya Msumbiji Kujenga Nyumba Yake Jirani Kabisa Na IKULU Ya Nchi Ya Msumbiji Na Kwa Faida Yenu Tu Hadi Sasa Makazi Ya Familia Yake Bado Yapo Nchini Msumbiji Pembezoni Kabisa Na Ikulu Yao. Msumbiji Walimpenda Sana Kwa Kuwa Yeye Ndiye Aliyewafanyia UMAFIA Na Kuwapa Shughuli Pevu Wanajeshi Wa Kikaburu Hadi Wakachapa Lapa Na Kama Haitoshi Huyu Huyu TAMIM Ndiyo Aliyekuwa Rais Wa Cuba Comrade Wa Hayati Nyerere Fidel Armando Castro Alimwomba Kifimbo Ampe TAMIM Na Yeye ( Yaani Wa Cuba ) Watupe Makomandoo Wao Watatu. Sasa Jiulize Huyu Jamaa Alikuwa Ni Extraordinary Kiasi Gani Hadi Wa Cuba Wakamtaka?
As usual ujuaji ila haujui unamuongelea Mahfudhi sio Tamimu ingawa na chumvi umetia
 
kwa wanaopenda walau kupata taarifa kwa ufupi ya nini kilichotokea gonga hapa
Mwafrika: Jan 9, 1982. A coup that never was. And its aftermath
Nimesoma hii link hadi machozi yamenilenga lenga, hasa jamaa alivyo malizia hapo missing...

"...... Still, his personal life doesn’t bother him quite as much as what he calls ‘the mindset of Tanzanians’. “They complain of almost everything but none of them has ever taken any action. They blame us for trying to overthrow the government while most of them would not even dare,” he says.

He told me he was going to bed that night without any food but that didn’t bother him; it would not be the first time. It is when he says, “This country… Nyerere corrupted the mindset of the people.

Very few people can think and take action,” that he wears the mask of disappointment."
 
Mimi baba yangu tu ndo alikuwa komando. Nakumbuka tuko shambani tunalima, mara mbweha wawili wakatokea na kuanza kuvuruta kikapu cha msosi, kilikuwa mbali kidogo chini ya mti, ile anataka kwenda pale kuwatimua, likatokea li nguruwe pori sijui limekimbizwa na mkulima mwingine huko, mimi nikawa katikati sijui kinachoendelea, nimetaharuki tu, aisee yule nguruwe alirushiwa jembe moja hatari likakata uso, ile nageuka nione nani karusha, namuona dingi anamsulubu mbweha kwa jiwe moja hatari.

Ilikuwa ni shidaa!
 
Back
Top Bottom