Tonny Mdaki
Senior Member
- Apr 14, 2018
- 136
- 94
Hao tunaawajua! na mwingine ambaye anakumbukwa kwa makeke yake na wala hakuwa na mafunzo ya cuba , wala hakuwa komandoo ni Sajenti Higo Ilogi... Huyo kama unafuatilia maasi ya jeshi utajua alikuwa nani. Achana na Tarimo bro!Mimi namkumbuka komando halisi TAMIM!! Wangapi mnamkumbuka huyu na alifanya nini? Hint: Unamkumbuka uncle Tom? Haya vijana somo la historia ya nchi yenu, waulizeni wazee wenu waliohai!!