lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
BAKWATA ilianzishwa mwaka 1968 kama chombo Cha kuleta mshikamano kwa Waislamu na uislam,Lakini Tukiangaza historia kwa umakini Utagundua kua Bakwata Ni chombo kilichoundwa na usalama wa Taifa,sio kwa ajili ya waislamu,kwajili ya serikali..
Swali:Bakwata ilianzishwa kwa kusudi gani??
Mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 yalikuja na Mambo mengi Sana,Wengi tushasikia kua Vita baridi kati ya USSR na Mataifa ya magharibi ilikua sababu kubwa ya Tanzania na Zanzibar kuungana, Tofauti na itikadi za Kisiasa mtihani mwingine ulikua ITIKADI YA DINI
Zanzibar ilionekana tishio kwa serikali ya Tanzania bara baada ya Muungano kwa sababu Kuu Tatu muhimu..
1: wa mataifa ya Misri,Libya,na Saudia Arabia kuisapoti Zanzibar kifedha Moja kwa..
2: Wazanzibar walitaka Sharia na mahakama ya kadhi
3:Uasi wa kidini Zanzibar kua Islamic state.
Ikawa kazi ya serikali kuzuia hayo yasitokee..Kikaundwa Chombo Cha kiislamu na Usalama wa Taifa kwa lengo maalumu,kua mkono wa Serikali katika uislam..hili ku control Mambo yafuatayo..
Kudhibiti Maudhui ya misikiti(itikadi Kali).
Kuwatambua na kuwasajili viongozi wote wa Kiislamu..
Kuvuruga umoja wa Waislamu.
Kuzuia(au kudhibiti) misaada ya Kiislamu kutoka nje
Misikiti iliyokuwa na msimamo mkali haikusajiliwa.
Wanafunzi waliotaka kusoma masomo ya uislamu nje ya nchi ilikua ni lazima wapate barua kutoka BAKWATA..
Mambo Ya Msingi Ambayo Bakwata Haikuwahi kufanya kwa Uislam
Haijawahi kukemea mauaji ya "Utata" ya Sheikh Said Mketo (aliyekuwa anahoji serikali).
BAKWATA haikuwahi kuungana na wanaharakati wa kiislamu katika harakati za Kudai Haki za Waislamu
Haikuwahi Kuisema Serikali kwa Baya lolote dhidi ya uislamu au Wananchi kwa ujumla..
Inavyo tumika Sasa.,
Mahubiri yote makubwa hufatiliwa.
Wanaohubiri "ujamaa wa Kiislamu"wanachunguzwa kwa karibu
Baadhi ya Maimam hutumiwa kama human intelligence assets,.
Waislamu ambao wapo nje ya mfumo Kama ndugu yangu Sheikh Ponda Wanaangaliwa na Mamlaka kwa wasiwasi.
Now watu wanapiga Kelele za ukiukwaji wa haki Bakwata wapo kimya sababu iliundwa kua Tiifu na kimya kwa serikali..
Viongozi wa Kiislamu wanaogopa Upinzani sababu ukijichanganya kushtakiwa kwa ugaidi..