fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Niliwahi kusoma makala moja iliandikwa na marehemu Ali Nabwa,kwenye gazeti la dira,yenye kichwa cha habari,Zanzibar yafa dungu msokoni.
Makala hiyo ilielezea ugomvi mkubwa sana kati ya karume na nyerere,kuhusu benki kuu ya tanzania.Nyerere akamtuma Amir Jamal keenda kuongea na Karume,Karume akamfukuza Jamali yena kwa kumwambia we ponjoro toka hapa.
Karume alikuwa akilalamika kuhusu hisa serikali ya mapinduzi ilizotoa ili kuanzishwa kwa benki hiyo.Kama kuna mtaalamu wa mambo ya fedha naomba atuelezee mchango wa serikali ya Zanzibar na Tanganyika kuanzishwa kwa benki kuu