GOYA MNANDA
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 239
- 160
Mimi ni kijana mwenye miak 32 nimeitimu chuo ngaz ya stashahada ya manunuzi na ugavi (procurement) 2012 nimesotea ajira toka 2010 adi leo patupu mara usajiliwe na board wanataka pesa mara ufanye mitihan ya board wanataka ela ukipata volunteer hakuna malipo ukipata majungu mwaka 2014 nikaamua kuachana kujitolea maana nilifanya kwa muda mrefu katika taasisi za umma kwa miaka 4 yote nila kuzingatiwa kwenye ajira yeyote rasim
Niliacha bila kujar naenda wap baada ya pale mwaka 2015 huo huo nikaanza kujichanganya mtaan kkoo kuuza sample ya nguo mbalimbali baadae nikapata wadau tukakimbilia ifakar kulima mpunga tukapambana uko kwa muda mrefu kisha nikarud tena mjini na kuendelea na mpambano
2016 nikapata wazo la kutoka pembezo mwa mjin na kuamia sehem moja inaitwa kisemvule kwa wakat huo ardhi haikua na thaman sana hivyo nikajichanga nikapata kipande cha hatua 16/20 kwa tsh laki 8 ukweli nilisaidiwa tu kutokana na nilivyo jieleza nikaamishia makaz uku wakat huo chumba tsh 5000 cha kiza niliishi uku na kwa wakat huo kulikua na kaz nyingi za ujenz hivyo ukijichanganya mtaan haukosi kazi nilifanya hivyo kwa muda uku naendelea na kilimo kule ifakala niliendelea kufanya kaz zisizo rasmi kwa muda uku naifashi kipato changu na hatimae nilipata kibanda changu mwaka 2016 mwishon
Katika maisha yangu ya kutafut niliamua kujiingiza kwenye uuzaji wa viwanja vya watu kwa kuanza mtu ananuua eneo anajiachia natafutawateja na kwa wakt huo nilitumia san Facebook kutangaza viwanja nikawa nalipwa % sikuangalia nimesomea nn mimi nilipambana ilimradi siku ziende na nikafanikiwa kujenga na kuendesha maisha yangu adi leo.... Sijawah kushika cash hata 3ml ila kidogo kidogo nimeweza kupata nyumba na kuweza kujikimu kimaisha
Wakubwa na wadogo zangu katika maisha usikate tamaa usiwaze kufanikiwa kupitia taaluma yako au fani yako ukiona fursa jichanganya wenda ndio kuna rizki yako hapo nimepata kibanda kwa kuunga unga mara unajenga unabomoa kuunga pale ila leo nipo pazur
njoon kisemvule leten wateja kwenye viwanja mupate % nanyi muanze kudunduliza viwanja nanyi mupate kujiifadhi ukileta wateja 5 nakupa kwanja 1 uku kwetu mchanga upo tu sio wa kununua kisemvule kuna fursa nyingi kuna viwanda vingi kulala na njaa maksud yako View attachment 2070248
View attachment 2070247
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app