Historia ya kweli ktik maisha yangu kwa ufupi

Historia ya kweli ktik maisha yangu kwa ufupi

Mimi kuna kipindi nawaza pengine kuna watu hatujaumbwa kuajiriwa tumeumbwa kua case study kwamba waweza soma na usiajiriwe.

Sasa ni kuuanza mwaka kishirikina zaidi.
Ajira hizi bhna ni kujuana bahat tu kikubwa ukimaliza chuo pambana mtaa kwa mtaa upate rizk zako za alali mimi nimeingia kwenye kilimo kwa miak kama 6 sasa nalima nafanya kaz za shamba fulltime na maisha yanaenda ok

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Unapataje wateja wa viwanja
Natangaza kwenye social media kam Facebook, napost kwemye whasp status Instagram anaeona na kunijua a namwambia mwezake ndivyo tunavyoishi mm Facebook whsp Instagram nk sio sehem ya story natafuta platforms nisonge mbele karibun vijana wezangu muniunge mkono viwanja havina sheeda

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Mimi kuna kipindi nawaza pengine kuna watu hatujaumbwa kuajiriwa tumeumbwa kua case study kwamba waweza soma na usiajiriwe.

Sasa ni kuuanza mwaka kishirikina zaidi.
Hii ni kweli.
 
Back
Top Bottom