GOYA MNANDA
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 239
- 160
- Thread starter
-
- #21
Ajira hizi bhna ni kujuana bahat tu kikubwa ukimaliza chuo pambana mtaa kwa mtaa upate rizk zako za alali mimi nimeingia kwenye kilimo kwa miak kama 6 sasa nalima nafanya kaz za shamba fulltime na maisha yanaenda okMimi kuna kipindi nawaza pengine kuna watu hatujaumbwa kuajiriwa tumeumbwa kua case study kwamba waweza soma na usiajiriwe.
Sasa ni kuuanza mwaka kishirikina zaidi.
Natangaza kwenye social media kam Facebook, napost kwemye whasp status Instagram anaeona na kunijua a namwambia mwezake ndivyo tunavyoishi mm Facebook whsp Instagram nk sio sehem ya story natafuta platforms nisonge mbele karibun vijana wezangu muniunge mkono viwanja havina sheedaUnapataje wateja wa viwanja
nyumba ya kisasaHebu naomba mchanganuo the way ilivyo ndani nmekua interested sana nayo
Hii ni kweli.Mimi kuna kipindi nawaza pengine kuna watu hatujaumbwa kuajiriwa tumeumbwa kua case study kwamba waweza soma na usiajiriwe.
Sasa ni kuuanza mwaka kishirikina zaidi.