Historia ya mababu weusi wa kale kuhusu Imani

Historia ya mababu weusi wa kale kuhusu Imani

Mm usingizi umenikimbia bwana niko nashangaa tu jf labda nitaogoteza
Ok good luck. ..maana mimi nasali. ..napenda kulala mapema na kuamka mapema. ...wonderful world. .
 
Mm usingizi umenikimbia bwana niko nashangaa tu jf labda nitaogoteza
Nijuavyo mimi kidogo ISIS ni Mtoto Wa kike, (Goddess) kutoka kwa wazazi Nut na Geb ambao tunafunzwa kuwa walikuwa na watoto wanne jumla, yaani Osiris, Seth, Isis na Nephthys.
Isis alikuja kuolewa na Osiris, wakati huo Osiris Akiwa mtawala wa Ulimwengu.
Baadae Seth alipandwa na wivu kwa kuona Osiris anaongoza Ulimwengu mwenywe hivyo akafanya hila na kumuua seth kwa kumgawanyisha vipande vipande.
Baada ya kifo hicho Osiris alishuka chini ya ulimwengu na kuwa The ruler of underworld huko. Huku juu Duniani Seth alitawazwa yeye kuwa King. Baada ya miaka Kadhaa ya Isis ya Ujane wa Isis kutokana na mumewe Osiris kuuawa, Alipata Mimba kwa uwezo wa roho na akaja kumzaa Horus/Heru.
Horus tunaambiwa kuwa alizaliwa akiwa na alama ya utawala kabisa mwilini mwake, na alipokuwa mkubwa akapanga kulipa kisasi kwa Seth aliyemuua Osiris, Tunaambiwa baadae Vita ilikuja kuzuka ambapo Horus alikuwa anapigania tena kiti cha ufalme ili amtoe seth madarakani. Baada ya mapigano marefu Horus alifanikiwa kumuua Seth, huku Seth akifanikiwa Kumng'oa Horus Jicho Moja.
Tunafunzwa kuwa Mama Isis alikuwa ni mama wa maarifa sana hasa ya Elimu za Roho na nyota, na muda mwingi aliutumia kukaa na watu wa kawaida na kuwafundisha elimu hizo, na ndiye aliyekuja kumrudisha Horus (mwanaye) jicho.
Hivyo Kwa Osiris, Horus, na Isis unapata Utatu mtakatifu wa Misri, yaani baba mwana na Roho mtakatifu wa kale zaidi kuwahi kuwako hapa.

Hivyo ndo kidogo ninavyoelewa kwa aliye na zaidi uwanja upo wazi
 
Back
Top Bottom