Historia ya Mabalozi wa Marekani Tanzania

Historia ya Mabalozi wa Marekani Tanzania

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Balozi William Trachman amekabidhi rasmi hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, na hivyo kuanza rasmi majukumu yake kama Balozi wa 21 wa Marekani nchini Tanzania.

Katika kipindi cha zaidi ya miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania, mabalozi mbalimbali wameiwakilisha Marekani nchini, wakishirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia, kiuchumi na kijamii.

Mabalozi wa Marekani nchini Tanzania

1. William K. Leonhart (3 Oktoba 1962 – 22 Desemba 1965)

2. John Howard Burns (3 Januari 1966 – 22 Juni 1969)

3. Claude George Anthony Ross (27 Disemba 1969 – 25 Juni 1972)

4. William Beverly Carter Jr. (24 Julai 1972 – 14 Oktoba 1975)

5. James William Spain (8 Januari 1976 – 21 Agosti 1979)

6. Richard Noyes Viets (18 Oktoba 1979 – 16 Mei 1981)

7. David Charles Miller Jr. (4 Novemba 1981 – 28 Februari 1984)

8. John William Shirley (28 Julai 1984 – 18 Julai 1986)

9. Donald K. Petterson (8 Disemba 1986 – 26 Desemba 1989)

10. Edmund T. DeJarnette (26 Februari 1990 – 12 Septemba 1992)

11. Peter John de Vos (8 Januari 1993 – 3 Juni 1994)

12. J. Brady Anderson (13 Septemba 1994 – 7 Oktoba 1997)

13. Charles Richard Stith (17 Septemba 1998 – 20 Januari 2001)

14. Robert V. Royall (19 Desemba 2001 – 22 Novemba 2003)

15. Michael Retzer (1 Septemba 2005 – 31 Agosti 2007)

16. Mark Green (12 Septemba 2007 – 20 Januari 2009)

17. Alfonso E. Lenhardt (12 Novemba 2009 – 9 Oktoba 2013)

18. Mark Bradley Childress (22 Mei 2014 – 25 Oktoba 2016)

19. Donald J. Wright (2 Agosti 2020 – 11 Januari 2023)

20. Michael A. Battle (27 Februari 2023 – 15 Januari 2025)

21. William Trachman (15 Oktoba 2026-)

Mbali na mabalozi walioteuliwa rasmi, baadhi ya maafisa wa Marekani wameongoza ubalozi kwa muda katika vipindi vya mpito kati ya balozi mmoja na mwingine kama Chargés d’Affaires ad interim

1. William Redman Duggan (9 iesemba 1961 – Septemba 1962)

2. John Lange (Januari 1998 – 17 Septemba 1998)

3. Michael S. Owen (Novemba 2003 – Julai 2005)

4. Inmi K. Patterson (5 Juni 2017 – 22 Juni 2020)

5. Andrew Lentz (15 Januari 2025 – 14 Oktoba 2026)

Maelezo ya picha:

1. Balozi William Trachman akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan muda mfupi baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho.

2. Balozi William K. Leonhart katika maonyesho ya bidhaa za plastiki za Marekani (American US Plastics), akiwa pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara, Jeremiah Kasambala, Disemba 1964.

3. Kaimu Balozi wa Marekani, John Lange, akimwonyesha Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani wa wakati huo, Madeleine Albright, mabaki ya ubalozi kufuatia mashambulizi ya kigaidi ya tarehe 7 Agosti 1998.

4. Balozi Charles Richard Stith (kulia) na Andrew Young, katika picha iliyopigwa mwaka 1998 Ikulu ya Tanzania, walipokuwa wakielekea kwenye mkutano na Rais Benjamin William Mkapa.
HUskumAWcAA74vI.jpg
HUskul9WsAA7Q2d.png
HUskumBXcAA2ipS.jpg
HUskul-XAAE8KsC.jpg
 
Back
Top Bottom