NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Nimesoma kitabu cha historia ya nchi yetu kuanzia wareno, wajerumani, waarabu, waingereza hadi uhuru kilichotungwa na H.MAPUNDA toleo la mwaka 1979 nimejifunza mengi yafuatayo:-
1.kumbe kuna watu walifungwa vifungo na kuwekwa kizuizini mkoa flani wasitoke kwa miaka kadhaa na mkoloni.
2.Mkoloni alipiga marufuku TANU Usukumani kwa kujua ni kabila kubwa hivyo wangeleta uhuru haraka kwa kura zao.
3.Harakati za uhuru zilianza mapema Nyerere akiwa na miaka mi4 tu
4.Pamoja na wale watu 17 walioanzisha TANU lakini harakati zilianza kabla ya hapo
5.Kanda ya ziwa kina Mpendachalo,Bununu,Ngusa na bibi Agnes Gigwa Sahani walikuwa mashujaa wa Geita waliompa tabu sana mkoloni.Huku Bununu akafungwa jela miaka mi2