Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Dah!...Rwanda imepitia mengi magumu.
 
Nimekaa nimewaza hapa hivi siku ya jana tarehe 7 ambayo ni kumbukumbu ya mauaji haya kila mwaka, hawa huwa wanaangalianaje? Aisee wamepitia magumu sana
 
Nimekaa nimewaza hapa hivi siku ya jana tarehe 7 ambayo ni kumbukumbu ya mauaji haya kila mwaka, hawa huwa wanaangalianaje? Aisee wamepitia magumu sana
Sometimes in April....ni movie nzuri sana juu ya masaji ya Rwanda
 
MTU MWEUSI ANATISHA SANA MAUAJI YA HALAIKI 1994 YALIKUWA YA KIKATILI MNO.

NGOZI NYEUSI IMEDHIHIRISHA MKAA KICHWANI.

NI LANA KUZALIWA AFRICA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…