Una mtangazia nani biashara yako kwanza hauoshi
Umepanic aunt... tulia iingie ikiuma sema**** we demu
I feel your pain...[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hutu watakapo washughulikia tena musikimbile kuja kuomba hifadhi TZ.
Hutu watakapo washughulikia tena musikimbile kuja kuomba hifadhi TZ.
Wewe endelea tu kusubili dada'angu badala ya kufanya kazi ujenge nchi yako, roho mbaya haijengi!Suala la muda tu.
Suala la muda tu.
Yani we dame toka uje Tz umekua kidanga kweliTutawanyooosha haswa na bado mpaka muumie kama mshenga karudisha posa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jomba acha kuni-copy yani uzi zangu yani ndio unasafilia nyota ?
Huu uzi mm nishewahi kuuanzisha.
Cc the bord
Yani we dame toka uje Tz umekua kidanga kweli
Kwanza muda wa kuishi bongo usheisha rudini kwenu.
Ilo bundle uliokopa linaisha muda gani?Tz nipogo miaka yote utajuuuta njoo home uje kunitoa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ilo bundle uliokopa linaisha muda gani?
Hilo bundle lipi Mkuu Au bando lisilofahamika nn [emoji23] [emoji23]Nimekopa la miaka 2 halafu nilikopa disemba 15 2017
sie kama wateja Wa Postpaid Or corporate.Hilo bundle lipi Mkuu Au bando lisilofahamika nn [emoji23] [emoji23]
Okaysie kama wateja Wa Postpaid Or corporate.
Kuna mti unaitwa mnazi, matawi yake yanaitwa makuti, huanza kukauka yale yaliyo wahi kutokea, kwa mkwezi kuti la mwanzo ni la hatari kuliegemea. Rwanda imeegemea kuti la kwanza. Hongereni kwa mabomba ya asali na maziwa yaliyosambaa nchi nzima. Ila la msingi anzeni kuijenga nchi yenu lije liwe taifa. Mabomba hayo yasije tiririsha usaha na damu.Na ndio sisi wachache wenye akili nyinyi endeleeni kushea maji na wanyama [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Proudly Rwandese.
Kuna mti unaitwa mnazi, matawi yake yanaitwa makuti, huanza kukauka yale yaliyo wahi kutokea, kwa mkwezi kuti la mwanzo ni la hatari kuliegemea. Rwanda imeegemea kuti la kwanza. Hongereni kwa mabomba ya asali na maziwa yaliyosambaa nchi nzima. Ila la msingi anzeni kuijenga nchi yenu lije liwe taifa. Mabomba hayo yasije tiririsha usaha na damu.
Kwa viongozi makini ktk nchi makini, hilo huwa jukumu lao la kwanza kupita yote, ustawi wa jamii bila ya amani ni ndoto tu za usingizi wa mchana, haukawii kwisha.