ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nia njema bila tathmini ya kina na kutumia past experience ndio inawagharimu,ilitakiwa hiyo nia njema yao ije kutekelezwa baada ya kizazi cha maveterani kutoweka duniani,wajilaumu wenyewe kupitia Habyarimana wao,nia njema na shetani are you serious?nia yao ilikuwa nzuri sana tu... walitakata amani ya kudumu wajenge nchi pamoja..kama nia yao ingekuwa mbaya bilashaka kuna neno zaidi ya genocide lingepatikana
kweli kabisa..wajipange tu kivingineNia njema bila tathmini ya kina na kutumia experience ndio inawagharimu,ilitakiwa hiyo nia njema yao ije kutekelezwa baada ya kizazi cha maveterani kutoweka duniani,wajilaumu wenyewe kupitia Habyarimana wao,nia njema na shetani are you serious?
Usimuani mnyarwanda hata Siku moja,ni watu ambao ukifika kwao wanapretend kuwa wana mapenzi ya dhati na wanapendana sana lakini unafki mtupu ,ni wanyama Sana'a jamaa nilichokishuhudia 1994 Rwanda sina hamu nao si TUsi wa HUtu ni wakatili Sana'a bora Watwa.
Unaongea sana ila huo ni ukweli hata ww uko mguu pande mja ndani mwingine nje,kitatokea tu kwani huyo PK akisepa make anafanya Yale Yale ya akina hybiarimana,mapovu hayo hayatabadili huo ukweli mumelaaniwa kwa damu nyie sio bure
Mwachieni Bwana Kizito Mihigo awahubiri na kuwaimbia tumaini la uzima wa milele muwe na hofu na Mungu.. NO ONE WAS BORN A RULER..kumbuka ni swala la muda binadamu ni maji yasiyofinyangwa rekebisheni mambo kwa suluhu ya maridhiano ikiwa kipindi hiki serikali ya Tz inamahusiano mazuri na Rwanda ili likitokea la kutokea tuwakaribishe kwa upendo huko Ngara...kumbuka hakuna mahakama inaweza hukumu mambo yenu ila Mungu..unyama wenu ni wa level nyingine...Mwachieni KIZITO MIHIGO
Hahahahaha kwanni nionee aibu nchi yangu ni vile hapa ID feki ila mie mbongo pure nitajie kokote TZ nikupeleke..... Ilitokea tu sababu naishi kigoma ndio maana nmekuwa nafuatilia vinchi jirani uchwara vyenye vita kila kukicha kma burundi na congo na rwanda maana mko karibu sana na kigoma ila sijawahi kutamani kuwa mnyarwanda nchi ya kibaguzi na maukabila
Am happy niko Tanzania ambapo kabila lolote naweza kuoa na naweza kuishi mkoa wowote bila kubaguliwa ila sijawahi ona mtutsi rwanda anaoa muhutu toka nizaliwe.... Na hata nliposoma huko mlikuwa mnakaa kimakundi hukuti mtutsi ana mazoea na mhutu hta siku moja na hata makerere rwanda association mlikuwa mnajitenga yaani watutsi kivyao na wahutu kivyao so sad na ni wasomi
21st century mnakuwa wakabila hata aibu hamna
Hahaha[emoji1] mtoto una dharau Ww khaa!Mtaweweseka sana Watz ila Proudly Rwandese Kagame my President wacu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umelaaniwa mtanganyika mna kila kitu halafu n maskini mapaka shule ipo karibu na ikulu haina madawati
Hahaha[emoji1] mtoto una dharau Ww khaa!
Hivi shule ya Bunge pale Ina ukosefu wa madawati wakati mhishimiwa kila akitoka getini cha kwanza lazima aione shule!
asante kwa ushauri..ni kweli tuna njaa ila hatuzijui Ak 47...tupo makabila 120++ila tunaheshimiana..kimsingi tunataka mkae kwa amani ili tupige hela toka kwenu hatutaki mrudi kama wakimbizi..nchi yetu ni kubwa hata kidogo haiwezi kulingana nasi...uchumi wenu ni kama assets za tanesco yetu sasa kwa sababu 14% ndo nyie Mungu awape nini....pondeni mali kwa raha zenu....Endeleeni kuiombea njaa Rwanda zamu yenu inakuja Kwenye nchi yenu mna kila kitu ila maskini wa kutupa vp ela za makinikia mmepewa ccm n nyoko wanawazubaisha mmekaa kaaa kawa wehu
asante kwa ushauri..ni kweli tuna njaa ila hatuzijui Ak 47...tupo makabila 120++ila tunaheshimiana..kimsingi tunataka mkae kwa amani ili tupige hela toka kwenu hatutaki mrudi kama wakimbizi..nchi yetu ni kubwa hata kidogo haiwezi kulingana nasi...uchumi wenu ni kama assets za tanesco yetu sasa kwa sababu 14% ndo nyie Mungu awape nini....pondeni mali kwa raha zenu....
usitukane ongea kwa staha...tofautisha kati ya uwekezaji na ufanisi...nyie land locked tatawapendea nini kama sio hela sie tupo bar hapa tunawasubiri mtapita tu ngoja mjilegeze mtusaidie kujenga SGR...kisha nikulipa kodi tu ...in fact tutacheka nanyi kinafikiUmeandika mashudu haya et Tanesco hii hii ambayo saa hii mtu ako Mbezi anasema hakuna umeme kweli Watz mna ubongo wa mbuni.Hapana chezea Rwanda Mpaka mkaanzisha thread hii kuisema Rwanda kwi kwi kwi kwi Proudly Rwandese.
Ni shida hatari sana yani hatari...Katika Story yote nimeguswa na hapa tu sababu it sounds familiar
" Baada tu ya kuingia madarakani Habyarimana alivifuta vyama vyote vya siasa nchini humo akieleza kuwa hataki Rwanda iendekeze majibishano ya kisiasa kila siku badala ya “kuchapa kazi” na mara nyingine akituhumu vyama vya siasa kutumika na maadui wa Rwanda ili kuvuruga taifa. Mwanzoni wananchi karibia wote waliunga mkonmo msimamo wake huu. Lakini ajabu ni kwamba mwaka uliofuata baada ya kuingia madarakani, yaani mwaka 1975 Rais Juvenal Habyarimana aliunda chama chake cha siasa ambacho alikiita Mouvement Revolutionnaire National pour le Developpement (MRND) na kutangaza kwamba hicho ndicho kitakuwa chama pekee cha siasa nchin Rwanda."
Mr slim mtu hatari sana mtu mbaya sana hafai uyu jamaa...Najua Rwigyema ni mtutsi ila Kagame alitaka aongoze yeye nchi na alimuona Rwigyema kama tishio hivyo alijua akimmaliza tu atakuwa hana opponent kwenye quest yake ya kutaka urais
All in all nasubiri sehemu ya 7 nione kma The Bold ataandika uhalisia au naye ataendeleza propaganda za kuwa Genocide ilikuwa Hutu anachinja mtutsi hapo ndio patamu kwingine kote huku huwa hakunaga shida ila ikifika hapo WHO STARTED THE GENOCIDE na WHO KILLED WHO vile vile DEATH TOLL ndio tutajua mbivu na mbichi
Mie ni mtanzania wa huko mwisho wa reli na sijawahi kuwa mhutu ila nmeshasema nmepoteza jamaa kibao ndio maana nafuatilia hizi mada sasa wewe unayesema sina facts nimeshaleta facts hapa twende taratibu
1.kwamba Rwanda population ilikuwa less than 5 million kabla ya genocide kuanza maana wengine walishaanza kukimbia vita ya RPF kuvamia rwanda...
2. takwimu zinasema tutsi were 15% na hata The bold kahakiki hilo sasa najiuliza sasa 15% ya 5 million ni ngapi??
3. Tunapata almost laki 7 sasa jiulize kulikuwa na survivors zaidi ya laki 3 wa kitutsi baada ya vita.... Ina maana walikufa kati ya laki mbili hadi 4
4.jiulize sasa kma death toll ni million 1 je hao laki 6 ni kabila gani
Basi tufanye wote 15% walikufa ambao ni laki 7..... Ina maana walikufa wahutu laki 4 si ndio?? Maana total deaths ilikuwa 1,070,000 je hapo mnatumia basis gani kuita tutsi genocide ilihali kuna wahutu laki 4 wamekufa???
Je sasa hivi imekuwaje Tutsi bado wako zaidi ya million 1 nchini rwanda??? Wametokea wapi hao wa tutsi wanaoishi rwanda sahivi ambao kwa statistics hata za wikipedia tu au CIA factbook zinaonyesha wako zaidi ya million mmoja au kwa mawazo yako watu laki 1 mnaodai walisurvive wanaweza zaa million moja ndani ya miaka 20?? Ilihali wahutu growth yao ni ile ile 2.5% mpaka leo lakini watutsi eti population growth yao iwe 100% kila mwaka!!! Si ingekuwa rekodi ya dunia???
Funny
Kama wew ni mtanzania usiye na asili ya kihutu wala kitusi hafu upo jf kubishana uhutu na utusi ni mpuuzi
Nahisi wote mnaotukanana humu sio Tanzania natives
Ona tunavyotukanwa nakuoneka tuna roho mbaya kwajili yakuwaongelea haoMambo ya wahutu na watutsi yanatuhusu kama yanavyotuhusu mambo ya wakikuyu na wajaluo. Sababu zipo nyingi. Mosi, ni kituko kikubwa kwetu. Pili ubinaadamu. Tatu mkianza kutoana roho mnakimbilia huku na kuanza kutuathiri kijamii, kimazingira na nk.
kama ungekuwa unatoka maeneo walikokimbilia usingekaa kimya ndugu...ni vema tuwaambie hatutaki upuuzi waoOna tunavyotukanwa nakuoneka tuna roho mbaya kwajili yakuwaongelea hao
Sasa si mada imewekwa mezani au unafkiri kwenye thread zingine tunatajaga wahutu na watutsi??? By the way hii ni social network ambayo ipo kokote duniani hata ukiwa uingereza una sign in sasa nani kasema unapojibu unaangalia taifa lako mbona wakenya kibao tu huwa wanakuja kwenye mada za chadema vs CCM na hakuna anayesema ni msimamo wa wakenyaKama wew ni mtanzania usiye na asili ya kihutu wala kitusi hafu upo jf kubishana uhutu na utusi ni mpuuzi
Nahisi wote mnaotukanana humu sio Tanzania natives
Kama ni hivyo basi wa kwanza kulaumiwa angekuwa the bold kwa kuleta mada ya kuhusu watutsi na wahutu maana ssi ndio tunachangia mada husika au ulitaka tusome afu tusichangie chochote?? Na nani aliyekwambia ukiwa mtanzania usifuatilie habari za nchi jirani?? Je kma una mpango wa kuwekeza huko kibiashara huoni ni muhim kujua political climate ya nchi za jirani..... Kwa mawazo yako ina maana trump alipotuita shitholes ndio msimamo wa wamrekani wote??Kama unaasili yakihutu simamia uhutu kutema yongo zako usitumie kivuli cha utanzania