Mmmh
Unachosema siwezi kihakiki.
Kwa kuangalia tu,kuna posts humu za ajabu kabisa,zinashabikia kuuawa kwa watu na zinapata likes zaidi.
Wala haija haja ya kutumia rocket science,soma tu posts za huu uzi.Kuna posts za ubaguzi mkali sana na zinasifiwa mno na nyie nyie.
Kuhusu Rwandair,ni kashirika kadogo tu,usije kapa sifa zisizohitajika.Foot print ya Rwandair ni abysmal.Sema sababu ya upenzi kwa taifa lako unawajibika kusifia either way.Mimi binafsi siwezi sifia Tanzania eti sababu mimi Mtanzania,naangalia truth na comparison with the other performers.I look into the mirror na kutoa honest judgement,sina upenzi wa namna hiyo mpaka unakua blind na obvious truths.