Yeap hamna usawa wanadai wanasahaulika ingawa ndio majority mfano Rais ni mtutsi since genocide hata cabinet wahutu wachache sana.... Biashara zote, uchumi, serikali upo chini ya watutsi hku majority hutus wakibaki wauza nyanya tu!!
Kifupi hao wenye silaha kuna demands wanataka ili warudi sasa kagame hataki na hata aliposhauriwa na kikwete awaskilize amegoma katakata yeye kasema waweke silaha chini wajisalimishe.... Sasa unataka mtu arudi huku ana machungu moyoni?? Kwanini asiwasikilize wakayamaliza?? Anaogopa nni kagame?? Au anaogopa kujibu maswali yao kuhusu lini hutu genocide itafunguliwa mahakama maalumu?? Au anaogopa kuulizwa kuhusu lini watafanya kumbukizi ya vifo vya wahutu laki 6 kwenye genocide!!