ngumba njeche
Senior Member
- Jan 22, 2017
- 184
- 146
Baba ata kama wewe unajua endelea tu tutaisoma tu"Ameshauriwa " asiongelee swala la udunguaji wa ndege na amepokea ushauri" lakini akamalizia kama wengi walivyotabiri kwa KUMPAKA MAFUTA PK ..... Mimi binafsi nilikuwa nafatilia nijue hapo kwenye NANI ALIDUNGUA NDEGE haya mengine ya kumpamba PK yapo tumeshayasoma sana lakini kwenye kutungua ndege kila andiko linapakimbia..... Kuna kitu kikubwa sana hapo labda kinafichwa kikijulikana watachinjana upya.... Acha tufunike kombe mwanaharamu apite