Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia


Naona umeenda ku google mambo [emoji3][emoji3][emoji3] nakipenda kiswahili sana halafu kujua kingereza sio ujanja saana hapa nilipo naongea french Spanish english Swahili kinyarwanda na kidogo naskia ahmaric from ethiopia. Nenda kajikune matako kwanza ndio urudi hapa.mimi kua Rwandese wewe inakuuma sana kama umechomwa sindano ya tako na bado utaumia sana Proudly Rwandese sisi sio mabilionea ila tuna akili ndio maana East africa kama yetu Magogoni iko chini ya (............) aha unaonekana unanikubali kiaina.
 
Muulize mama ako na anti ako hua tunauzaga nini.???? wanaume puuuuuh watanzania.????
Jestikila, huwa nakuheshimu sana ila leo umenishangaza kidogo, why unatukana watanzania wote! Pamoja na kuwahifadhi ndugu zako toka Rwanda kwenu kipindi kile cha mauaji ya kutisha!! Tukawapa ardhi ya kuishi na kulima na wengine mpka leo still wapo hapa unapopatukana na kudharau! ama kweli mfadhili mbuzi binadam atakuudhi! Sawa we kaa uko sijui Dakar au popote pale na uiache Tizii kama ilivyo ila kumbuka kikiwaka tena wewe na familia zako mtakuja tena kwa miguu iwapo tu hamtaingia Kwenye 18 za wahutu!! Be blessed
 

Haya subiri kiwake hicho unachosubir mtakufa ukoo wenu mtaiacha Rwanda ndio kimbilio la watu kufanya maisha na biashara hapo East Africa,Dakar naishi South africa naishi Rwanda naishi Tz napita addis aishi so acha kupoteza bando lako la internet nyie mliwasaidia mpaka South Africa hii leo hawawajui kwahiyo mkajipange
 
aona umeenda ku google mambo

Nilikua busy na mambo mengine..nika-google kwa post gani ya akili uliyotoa?Hebu acha kujiaibisha wewe!

nakipenda kiswahili sana halafu kujua kingereza sio ujanja saana hapa nilipo naongea french Spanish english Swahili kinyarwanda na kidogo naskia ahmaric from ethiopia

Unapenda Kiswahili unamaanisha unazimikia TZ culture,on that note,you will always be number 2 to a Tanzanian culturally!French fasaha hujui,Spanish fasaha hujui,English ndio hujui,Kinyarwanda well is insignificant language in EA,Kiswahili chako well,ni hovyo,hujui Kiswahili sanifu,sentensi na paragraph hujui kupangilia......Amharic ni a very poor language EA,inaanza Arabic then Swahili spoken by 150Milion poeple...

mimi kua Rwandese wewe inakuuma sana kama umechomwa sindano ya tako na bado utaumia sana Proudly Rwandese sisi sio mabilionea ila tuna akili ndio maana East africa kama yetu Magogoni iko chini ya (............) aha unaonekana unanikubali kiaina.

Nikukubali wewe?Kwa lipi maybe?Wewe kua Rwandese has nothing to with me,it is for u....Hujiamini na Urwanda wako kila saa lazima uongee "Im Rwandese" mpaka inakua stupidity..Is as if kuna mtu anapingana na wewe..Very insecure!Una identity contradictions,una U-TZ na U-RW sasa upo kwenye denial hivi.Unahitaji counselling!
 
Tangu nizaliwe sijawahi kusikia kuna kampuni ya maana iko Tz ambayo asili yake in Rwanda. Mfano Wa Equity, KCB, Jubilee, za Kenya ziko Tz. Au CRDB, Azam, Azania. eafco za Tz zote ziko Rwanda.

Hebu nitajie kampuni ya Rwanda iliyoko Tz niijue Leo.
 
Tangu nizaliwe sijawahi kusikia kuna kampuni ya maana iko Tz ambayo asili yake in Rwanda. Mfano Wa Equity, KCB, Jubilee, za Kenya ziko Tz. Au CRDB, Azam, Azania. eafco za Tz zote ziko Rwanda.

Hebu nitajie kampuni ya Rwanda iliyoko Tz niijue Leo.

Kaa utulie endelea kusoma mambo ya kampuni kwenye magazeti wenzio wanapiga ela huwezi jua behind the scenes ya hizo kampuni ndio maana unabwabwaja tu kama chiriku
 
tenda wema usepe usingoje shukurani hakuna ya kutambuliwa na wa south kikubwa ni kwamba kwny historia yao ya ukombozi lazima wamention TZ hata kama wataficha ukweli utabaki ndani ya nafsi zao
 
Hili kweli popoma au boya tenda wema usepe usingoje shukurani hakuna ya kutambuliwa na wa south kikubwa ni kwamba kwny historia yao ya ukombozi lazima wamention TZ hata kama wataficha ukweli utabaki ndani ya nafsi zao

Huo ukweli unasaidia nin mmebakia maskini wa kutupwa ufisadi wa hali ya juu vijana webaki mitandaoni kulia lia bila Action yoyote kutekana kila siku nchi kama haina mwenyewe mna maisha magumu sana
 
yan hapo ni kama vile shule yenye wanafunz kdogo kufeli ni ngumu kwaxabab wanaelewa vzur darasan
 
Naona watu wanasumbuka na kabinti kamoja ambako ukifatilia majibu yake tu unajua kanaumwa SONONA (DEPRESSION) kali sana......
 
Haya bhana....na hawa viongozi wasipokuwa makini watatupeleka huko siku moja.
 
unacho ongea kipo dada
 
Nakushangaa wewe unayetaka kufananisha hicho kimkoa chenu cha Rwanda na Taifa kubwa km Tanzania uchumi wa Rwanda ni sawa tuu ba sekta moja km ya Tanesko hapa hivi n vitu viwili tofouti kabisaa
 
Zamani nilikuwaga na mawazo kama yako ila nmeachana nayo, nmegundua PK ni genius na mzalendo kweli kweli kwa nchi yake mengine ni ya kibinadamu tu atawale mpaka atakapochoka
 
Zamani nilikuwaga na mawazo kama yako ila nmeachana nayo, nmegundua PK ni genius na mzalendo kweli kweli kwa nchi yake mengine ni ya kibinadamu tu atawale mpaka atakapochoka
Mkuu gadaffi alikuwa mzalendo zaidi ya kagame ila udikteta wake ma kukandamiza wakosoaji huku akiwanyima uhuru wananchi kulifanya apinduliwe na vijana wa kijiweni tu......

Kagame hata kma kafanya maendeleo kwani anashindwa kuandaa mrithi ambaye ana uwezo kama wake wa kuipeleka Rwanda mbele?? Je akifariki ghafla si ndio mambo ya nchi kuingia vitani sababu ya ombwe la uongozi

Ni vyema apishe awaachie hata wahutu muhula mmoja ili tension za ukabila ziishe na baada ya hapo watutsi watawale milele ila kitendo cha kagame kuitawala Rwanda tokea miaka ya 90 mpaka 2034 sidhani kama wahutu watakubali itapelekea vita nyingine huko mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…