Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

the bold!!! kazi yangu ni kusave tu nyuzi zako! [emoji120] [emoji120] [emoji362]
 
Nawashangaa nyie wabongo kubishana na hutu tutusi tunatomuka damu za wahutu,tujamaa twenyewe akili hakuna zaidi ya kujikuza,bila bongo kuwafundisha walikuwa waishie kuchunga ng'ombe tu huko,yaani mtu mja anaitwa pk kawashikilia wote akili.Tulikuwa na kamoja pale idara ya uchumi anajiita kamuzoora lakini anachofunza hakieleweki ,tukawa tunajiuliza how comes mtu haeleweki anachofundisha afu UDSM wanamlipa salary,mda wote kajamaa kanawasiwasi na kujistukia just kama wenzie.Shujaa wao PK hana raha anamuwaza yule mwanamke Victoire Ingabure,ajabu
 
Kitendo cha kucoment hapa tayari ni Povu Proudly Rwandese [emoji3][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Hutu watakapo washughulikia tena musikimbile kuja kuomba hifadhi TZ.

Hawa watu walituonyesha kuwa binadamu ni Kama mnyama tu, Yule wa mwituni,

Kufikia kuchukiana kiasi kile ni jambo la ajabu mno, la aibu mno. Jirani kwenda kumuua jirani., sio mmoja, ni makumi na mamia ya majirani kwenda kuwaua majirani zao - au kusaidia kwa namna moja ama ingine kufanya ubaya huo. Aibuu , aisee. Tusiwaombee warudi kule

Tangia miaka ile mpaka sasa binafsi nime jaribu kuangalia nini hasa kilisababisha Haya?

Ni story ndefu, acha nikomee hapa. Nisubirie gwiji the bold atiririke,

Tuiombee mema afrika
 
Rwanda for Rwandese we are Together Forever yalishapita maisha yanasonga mbele kwa kasi kubwa Proudly Rwandese.
 
176149"]Hahahahahahhaa watutsi bhana we ikianza genocide ntaan 176149"]Hahahahahahhaa
 
Yani we demu hata unachokishabikia hukijui undani wake. Proudly Rwandanese wakati upo TZ.

Nenda kaishi bax huko mxiez ww.

Kwa akili zako za kulelewa na bibi unadhan jami forums una access within Tz tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ushamba mzigo.
 
Si unajisema ww mwnyw kuwa upo bongo na kajamaa kako kale kayaman.

Tumeanza kupangiana pa kukaa sie wengine popote penye Fursa tunakomaa tuna make then maisha yanasonga nina makazi almost dunia nzima.
 
Yani we demu hata unachokishabikia hukijui undani wake. Proudly Rwandanese wakati upo TZ.

Nenda kaishi bax huko mxiez ww.
Nilichogundua wewe hujielewi sasa kuna shida gani mtu kuwa proud na nchi yake? Kama unaonea aibu taifa lako sorry we can't help!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waliahidiwa noah hawa ahahah naona zimeota mbawa wamekua saplaized na ujio wa babu seya na ununuz wa wabunge na madiwan sio ununuzi wa bombadia
 
You are so local minded naamini hata passport hujawakuwa nayo, siku ukipevuka akili unakaribishwa Kigali ujifunze

Kile kitabu cha kijan Tz kukichukua mpaka ukapige magoti pale uhamiaji sijui uvue viatu getin sijui ukaguliwe ka airport ndio uingie ndan khaaaaa
 
Back
Top Bottom