zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Exactly aliogopa wangeshinda vita Rwigyema angekuwa RAIS hivyo kagame angesugua benchiHuyu Kagame yawezekana alimtungua na Rafikiye Rweygema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly aliogopa wangeshinda vita Rwigyema angekuwa RAIS hivyo kagame angesugua benchiHuyu Kagame yawezekana alimtungua na Rafikiye Rweygema
Wewe interahwe kumbuka hata huyo rwigyema nae alikua mtutsi anaowaota kila siku!Exactly aliogopa wangeshinda vita Rwigyema angekuwa RAIS hivyo kagame angesugua benchi
Najua Rwigyema ni mtutsi ila Kagame alitaka aongoze yeye nchi na alimuona Rwigyema kama tishio hivyo alijua akimmaliza tu atakuwa hana opponent kwenye quest yake ya kutaka uraisWewe interahwe kumbuka hata huyo rwigyema nae alikua mtutsi anaowaota kila siku!
maelezo yake yanaashilia mwisho tuje tuamini genocide iliratibiwa,kusimamiwa na kutekelezwa na habyalimana hata kama alikufa mapema....kuna ka kipengere wanakasahu kukaweka sawa idadi ya hao watutsi na wahutu kabla ya mauajiNajua Rwigyema ni mtutsi ila Kagame alitaka aongoze yeye nchi na alimuona Rwigyema kama tishio hivyo alijua akimmaliza tu atakuwa hana opponent kwenye quest yake ya kutaka urais
All in all nasubiri sehemu ya 7 nione kma The Bold ataandika uhalisia au naye ataendeleza propaganda za kuwa Genocide ilikuwa Hutu anachinja mtutsi hapo ndio patamu kwingine kote huku huwa hakunaga shida ila ikifika hapo WHO STARTED THE GENOCIDE na WHO KILLED WHO vile vile DEATH TOLL ndio tutajua mbivu na mbichi
Mwandishi aliposema "rafiki wa kweli ni maslahi" hukuelewa?Exactly aliogopa wangeshinda vita Rwigyema angekuwa RAIS hivyo kagame angesugua benchi
Na hapo ndipo nasubiri kwa udi na uvumba maana ndio siri ilipo..... Maana wanataka kuaminisha watu RPF ilipoingia Rwanda eti haikuua mhutu hata mmoja ila wahutu ndio waliorganise kuua watutsi.... Alafu kituko utaskia walikufa watutsi million 1 ilihali wote tunajua kufikia siku ndege kutunguliwa kulikuwa na watutsi laki 2 pekee hapo rwanda najiuliza hao laki 8 wengine ni kabila gani?? Kma ni wahutu je nani aliowaua hao wahutu??? Na kma walikufa wahutu wengi kuliko watutsi Y inaitwa tutsi genocide??Haya maswali tunategemea tupate majibu kupitia uzi huu ngoja nisubiri tumaelezo yake yanaashilia mwisho tuje tuamini genocide iliratibiwa,kusimamiwa na kutekelezwa na habyalimana hata kama alikufa mapema....kuna ka kipengere wanakasahu kukaweka sawa idadi ya hao watutsi na wahutu kabla ya mauaji
kuna watu bado wanaamini ...kuna siri chini ya jua...hata kama ni usiku utaonwa tu labda ujaliwe kuwa na hadhara inayojua mambo ya Rwanda ka Tz hafu tupo kimya,maana makala za design hii huja kila mwaka kwa sura tofauti tofauti...labda wanapima kumbukumbu za watu juu ya uhalifu waoNa hapo ndipo nasubiri kwa udi na uvumba maana ndio siri ilipo..... Maana wanataka kuaminisha watu RPF ilipoingia Rwanda eti haikuua mhutu hata mmoja ila wahutu ndio waliorganise kuua watutsi.... Alafu kituko utaskia walikufa watutsi million 1 ilihali wote tunajua kufikia siku ndege kutunguliwa kulikuwa na watutsi laki 2 pekee hapo rwanda najiuliza hao laki 8 wengine ni kabila gani?? Kma ni wahutu je nani aliowaua hao wahutu??? Na kma walikufa wahutu wengi kuliko watutsi Y inaitwa tutsi genocide??Haya maswali tunategemea tupate majibu kupitia uzi huu ngoja nisubiri tu
Najua Rwigyema ni mtutsi ila Kagame alitaka aongoze yeye nchi na alimuona Rwigyema kama tishio hivyo alijua akimmaliza tu atakuwa hana opponent kwenye quest yake ya kutaka urais
All in all nasubiri sehemu ya 7 nione kma The Bold ataandika uhalisia au naye ataendeleza propaganda za kuwa Genocide ilikuwa Hutu anachinja mtutsi hapo ndio patamu kwingine kote huku huwa hakunaga shida ila ikifika hapo WHO STARTED THE GENOCIDE na WHO KILLED WHO vile vile DEATH TOLL ndio tutajua mbivu na mbichi
intellectual property rights...ndo kila kitu ukiona mtu anakulipa ujue yeye anajilipa zaidi ...sasa hii mitaji ya investors inawapa kiburi wake zetu mpaka tunatishiwa na mabwana zao...anyway kuna siku tutawashika ugoniAcha kubishana na wapumbavu hawa Rais wao BMW aliwaita Wapumbavu wanaona Rwanda inasonga mbele wao bado wako pale pale basi inawauma achana nao
Jestkilla labda ulikuwa mdogo sana mwaka 1990 ndio maana haya mambo huyajuia vizuri au huenda hujakaa sana maziwa makuu..... Ila mmi nimeshakwambia kwanni naamini hii historia ya genocide inafichwa vitu vingiKama unajua zaidi kwanini usikae uandike makala yako ukaandika unachokua Mbuzi wewe utadhani ulikuapo kwenye ile vita na kujifanya mjuaji kumbe Falasi tu.kaa mpambane na nchi yenu mfanye maendeleo
we mtu hatari sana....sasa huku kigoma unatafuta nini...jaribu kukonvisi sarikali ilete reli ya SGR huku kabla ya mwanzaJestkilla labda ulikuwa mdogo sana mwaka 1990 ndio maana haya mambo huyajuia vizuri au huenda hujakaa sana maziwa makuu..... Ila mmi nimeshakwambia kwanni naamini hii historia ya genocide inafichwa vitu vingi
1. Nimeishi kwenye kambi ya wakimbizi wa kihutu kule nairobi.... Walipewa apartments maeneo karibu na ruaraka county ya nairobi kabla ya kupelekwa uhamishoni cameroon na wengine belgium hivyo nilipata fursa ya kujifunza mengi kuhusu rwanda genocide
2. Nina family friends waliokimbia vita ile kutoka pande zote mbili za hutu na tutsi hivyo hao pia walinipa first hand data kabisa
3. Nimesoma Rwanda udogoni na nimeishi rubavu kule gisenyi kwa mzee mmoja anaitwa munyakazi mtutsi pure aliyekuwepo jeshini RPF wa kutoka nyiragongo DRC hivyo naelewa nachosema na kuwepo kwangu kule nilipata first hand data maana yye alikuwepo kwenye field ya mauaji kabisa
4. Nimesoma makerere (MUBS)- Nakawa walipojazwa watutsi kibao ''wanaojiita'' WANYANKOLE na WAHIMA ambapo nmekutana na watoto wengi tu wa active generals wa RPF na NRM wa kipindi cha genocide na hao pia ukaribu nao nilipata siri nyingi sana kuhusu what really happened in rwanda 1994-2003!! Kina General Elly tumwine binti yake nmesoma naye etc
5. Second congo war ile ya kagame kutaka kumtoa kabila mkubwa imenikutia bunia DRC kipindi cha vurugu la walendu vs wahima.... Kipindi cha Ntaganda akiwa kwenye Peak ya ukomandoo wake .... Huko nako niliona jinsi makambi mengi ya wahutu yalichomwa moto na askari wa RDF ya kagame.... Yaani kambi nyingi sana tukipita asbuhi tunakuta harufu ya maiti na uzuri UN ilikuja kutoa ripoti baadae japokuwa kagame anakana ili kwa macho yetu tulishuhudia hivyo sihitaji unifundishe kipi cha ukweli na kipi cha uongo kuhusiana na ukatili wakagame kwa wahutu hivyo napoona mambo yanapotoshwa lazima niumie maana najua machungu ya vita
Anyway ni mengi nimejifunza kupitia huko kote nlikopita ndio maana nimefikia hatua ya kupinga upotoshaji wenu kokote nitakapousikia
Possible coz ukiangalia alivyowamaliza watu wake wa karibu kwa ajili ya uchu wa madaraka sishangai,pia kama huyo Rwegema alirokomea asimuage jamaa yake bila shaka na yeye alikuwa ally sio friendHuyu Kagame yawezekana alimtungua na Rafikiye Rweygema
naunga mkono hoja...Mkuu zitto junior elimu hio usikae nae peke yako na sisi tunahitaji kujifunza pia kaka. Weka uzi hapa hata kama utakuwa na episode 3 ama 4 angalau Watanzania tupate kujifunza zaidi ya nini hasa kilitokea kaka. Kama unavyosema hapa uliona na kusikia mengi, viongozi wetu hawatuelezi hadithi hizi za kuogofya sana. Mwaga elimu kaka
Sounds familiar to me as well..damn!lets wait and see Habyarimana in the making.Katika Story yote nimeguswa na hapa tu sababu it sounds familiar
" Baada tu ya kuingia madarakani Habyarimana alivifuta vyama vyote vya siasa nchini humo akieleza kuwa hataki Rwanda iendekeze majibishano ya kisiasa kila siku badala ya “kuchapa kazi” na mara nyingine akituhumu vyama vya siasa kutumika na maadui wa Rwanda ili kuvuruga taifa. Mwanzoni wananchi karibia wote waliunga mkonmo msimamo wake huu. Lakini ajabu ni kwamba mwaka uliofuata baada ya kuingia madarakani, yaani mwaka 1975 Rais Juvenal Habyarimana aliunda chama chake cha siasa ambacho alikiita Mouvement Revolutionnaire National pour le Developpement (MRND) na kutangaza kwamba hicho ndicho kitakuwa chama pekee cha siasa nchin Rwanda."
Hivi haya madini mnatoa kwenye vitabu gani?Simulizi hizi ni kutufanya tusahau mambo ya rwanda ...as if rwanda ya miaka ya miaka ya 90 ni Yeriko ati ilipinduliwa kwa nyimbo tu...ati wahutu waliratibu wauaji ya kimbali...now why 94 na sio 86....anyway kuna dots naziunganisha hapa..huyu mleta maada anajua tangu Tz tumemtoa Amin Uganda...Uganda ilipitia vipindi tofauti vya mapinduzi mpaka nyandwi wa nkole district akashika nchi 86 nkole district bila shaka ndo ilihost wakimbizi toka Rwanda....89-90 ya Rwanda yakaibuka tokea Uganda ndo hayo yakimbali..mara paa kwa mobuto wakalianzisha tokea rwand, Uganda Kabila mtoto ndo rais..anyway tunashukuru hata kwa zawadi ya ng'ombe toka Uganda kwa familia flani hivi..kimsingi mambo ya Rwanda hatuhitaji kumtafuta mchawi usiku ...binafsi naona bado kuna moto unawaka mara hii mioyoni mwa wanyarwanda waliopoteza ndugu zao 89-97... ukisikiliza nyimbo zao utajua na maana gani...anyway mahakama za Belgium na Spain zinamsubiri mtu flani hivi anyooshe maelezo.