BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,252
I can see aisee, ni km Ana depression...labda aliathirika na vita za kwao.Sana tu mkuu huoni matusi anayoniporomoshea..... Hapa ilibidi nicheke tu otherwise uzi ungejaa kwa matusi.... Hana staha kabisa c unajua tena watusi kwa kujikuta
Comment niliyotoa na alivonijibu ni tofauti kabisaa