Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Proudly Rwandese Sheeenzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya next month ntakua Virginia tuombe uzima.

Jstikilla

"Sheenzi" inahusika nini hapo?Mbona unaonesha ujinga wako kiasi hiki?

Nakusoma Muisrael=Mu-Eritrea=Mu-Ethiopian=Mu-Rwanda=M-Somali=etc,etc...Kitakachofuata utasema nyie ni Wazungu caucasians...Hahahahaaaaaaa..Mungu wangu!
 
Umeanza kututabiria tena we n shekh yahya au sio uko US lala muda huu
 
Hii Ndio sababu hata Races nyingine wanasema " whenever you see a black man you see a fool " kwa baadhi ya foolish prides comments za the so called Chosen Tutsis to rule others kwenye hii thread naanza kuamini huu usemi .............. Bragging about nonsense and utterly absurd stuffs , I wish you could know how Jews views and treat blacks in their own country (Israel) you would have stopped this foolish arrogance long ago ..............To me there is no stupidity of highest magnitude than this ................ Hao wazungu mnaowaabudu wenyewe wameinteract sana kwa sasa MDutch na Mjerumani , Mfaransa na MItaly n.k ......Sisi ndo bado tunaendekeza huu upuuzi wao walishaachana na Ethnic superiority Bullshit muda mrefu wakakaa kama Europeans na maendeleo yalishaonekana sasa sisi bado tuko stone age ............Mara Mtutsi ndo nina haki ya kutawala na mpumbavu kama huyu ana ujasiri kabisa wa Kuandika huu upupu humu na watu wanashangilia kabisa ............Hopeless kabisa............kwa Case ya pale Rwanda na Burundi hawa jamaa wakubali kuachia madaraka , we ni nani kutawala miaka yote hiyo ina maana hamna watu wengine wanaoweza kuongoza ............Mi naamini Nyerere alikuwa ni kiongozi mwenye maono sana na hili suala aliliona mapema na kulishughulikia mapema na leo hii tunajivunia Ethnic unity iliyotukuka kabisa ulimwenguni , makabila 120 na intermarriages hazikatazwi kabisa .................Hivi unafikiri Tanzania kungetokea kukawa na kabila moja likashikilia hatamu zote za uongozi nini kingetokea ..........Nahisi Tanzania isingeweza kuexist na kungekuwa na vinchi vidogo within it Dodoma ,nchi ya Mwanza ,nchi ya Kigoma n.k na hata hivyo vinchi vyenyewe visingekuwa stable maana chukulia mfano Arusha kuna makabila zaidi ya mawili hawa lazima wangepigana tu ................... Na hiki ndio wanachotakiwa kujifunza haya makabila mawili Hutus & Tutsis uko Rwanda na Burundi ..............
Well said mkuu.... Naona umemwaga nondo haswaaa....Post bora kabisa kwenye huu uzi

Big up
 
Proudly Rwandese Sheeenzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya next month ntakua Virginia tuombe uzima.
Haha ujinga wako unazidi kudhihilika. Dogo Tz ni taiga lililoanzishwa katika msingi ya equity and equality. Hizo suprioty zenu za kitusti pelekeni huko kwenye makaburi yenu
 
Mh!!! nilidhani waliopungukiwa na akili ni mtaani tu!! kumbe na huku wapo ( Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.)
 
Huu ulikuwa ni uuwaji tu, kama kweli nia yao ilikuwa kuwarudisha (Watutsi) Ethiopia ambako hata marastafari wa jamaika walipewa mkoa (Sheshamane) ile fedha waliyonunulia mapanga wangeweza kabisa kukodi vyombo vya usafiri.
Siwalaumu, kuitwa mhutu ni tusi Kama kuitwa mbwa kipindi hicho cha kupata Uhuru
 
Mh!!! nilidhani waliopungukiwa na akili ni mtaani tu!! kumbe na huku wapo ( Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.)
Mkuu umechanganya madesa
 
Siwalaumu, kuitwa mhutu ni tusi Kama kuitwa mbwa kipindi hicho cha kupata Uhuru
Ilikuwa ni chuki iliyokuwa imepandikizwa tu,"inyenzi" mathalan lilikuwa ni jina lililokuwa linatumika katika vyombo vya habari,sijawahi kusikia mhutu akiitwa "umbwa" wakati ule msema kweli mpenzi wa mungu.
 
Yeah ogopa sana kupandikizwa chuki, ni rahisi kuambukizana chuki kuliko kupendana
 
Utabiri ni ule ulee kwamba siku yaja mtaanzaa kuchinjana tena km kuku ngoja huyo dkteta uchwara wenu adondokee...

Kwenu Tz mbona huyo president anapandikiza chuki dhidi yenu nadhan mtaanza nyie kuchinjana na mmeanza kuletea uchadema na uccm ila hamjui muda ndo msemakweli
 
Haha ujinga wako unazidi kudhihilika. Dogo Tz ni taiga lililoanzishwa katika msingi ya equity and equality. Hizo suprioty zenu za kitusti pelekeni huko kwenye makaburi yenu
Aaaah kuna mjadala mzuri hivi halafu nimeukosa daaah. Nakumbuka Wanyarwanda pale ICTR walikuwa hawanipendi kweliii kisa haya mambo. Hii issue ilitoa uhai wa Prof Mwaikusa masikini (May he rest in Peace)
 
Afadhali mkuu umetia timu na huku.... embu mwaga nondo kuhusu kilichotokea 1994 maana kuna vitu vingi vinafichwa kuhusu Rwanda civil war
 
Utabiri ni ule ulee kwamba siku yaja mtaanzaa kuchinjana tena km kuku ngoja huyo dkteta uchwara wenu adondokee...
Inaelekea majirani zetu mnatamani sana kuona nasi tukichinjana.....! Ama kweli, mfadhili nyani umpe boga,binadamu atakuroga.
Kwenu Tz mbona huyo president anapandikiza chuki dhidi yenu nadhan mtaanza nyie kuchinjana na mmeanza kuletea uchadema na uccm ila hamjui muda ndo msemakweli
 
Back
Top Bottom