Hii Ndio sababu hata Races nyingine wanasema " whenever you see a black man you see a fool " kwa baadhi ya foolish prides comments za the so called Chosen Tutsis to rule others kwenye hii thread naanza kuamini huu usemi .............. Bragging about nonsense and utterly absurd stuffs , I wish you could know how Jews views and treat blacks in their own country (Israel) you would have stopped this foolish arrogance long ago ..............To me there is no stupidity of highest magnitude than this ................ Hao wazungu mnaowaabudu wenyewe wameinteract sana kwa sasa MDutch na Mjerumani , Mfaransa na MItaly n.k ......Sisi ndo bado tunaendekeza huu upuuzi wao walishaachana na Ethnic superiority Bullshit muda mrefu wakakaa kama Europeans na maendeleo yalishaonekana sasa sisi bado tuko stone age ............Mara Mtutsi ndo nina haki ya kutawala na mpumbavu kama huyu ana ujasiri kabisa wa Kuandika huu upupu humu na watu wanashangilia kabisa ............Hopeless kabisa............kwa Case ya pale Rwanda na Burundi hawa jamaa wakubali kuachia madaraka , we ni nani kutawala miaka yote hiyo ina maana hamna watu wengine wanaoweza kuongoza ............Mi naamini Nyerere alikuwa ni kiongozi mwenye maono sana na hili suala aliliona mapema na kulishughulikia mapema na leo hii tunajivunia Ethnic unity iliyotukuka kabisa ulimwenguni , makabila 120 na intermarriages hazikatazwi kabisa .................Hivi unafikiri Tanzania kungetokea kukawa na kabila moja likashikilia hatamu zote za uongozi nini kingetokea ..........Nahisi Tanzania isingeweza kuexist na kungekuwa na vinchi vidogo within it Dodoma ,nchi ya Mwanza ,nchi ya Kigoma n.k na hata hivyo vinchi vyenyewe visingekuwa stable maana chukulia mfano Arusha kuna makabila zaidi ya mawili hawa lazima wangepigana tu ................... Na hiki ndio wanachotakiwa kujifunza haya makabila mawili Hutus & Tutsis uko Rwanda na Burundi ..............