Hello wadau,
Kwa yeyote anaejua historia ya mji wa iringa naomba atushirikishe, na majina mbalimbali na namna ilivyokuwa; kuna sehemu panaitwa kitanzini ilikuwaje na kina nani walinyongwa? Vita ya Mkwawa na Wajerumani, na mengineyo yanayohisiana na siasa, jamii na utamaduni.
AHSANTE KWA MCHANGO WAKO IN ADVANCE