SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nimekupata barabara kabisaUchawi hauvuki maji, ukijaribi kuuvusha, unakuua wewe mwenyewe au unaufikisha ukiwa hauna nguvu, sababu kubwa, bahari Ina makazi ya viumbe wakubwa ambao wataunusa na kukufata katika mashua, na kuuliza kwa nini unapitisha mazingara na ushirikina katika himaya yao. Hapo kuna mawili, waipindue mashua, au waivunje nguvu dawa uliyobeba, au mafundi wafanye tambiko katikato ya bahari au ziwa.
Visiwa vinalindwa na hao viumbe.
Usimjaribu mtu wa visiwani kwa uchawi wa bara, utakwisha.
Kigoma Region TanzaniaKuna matambiko hatari ziwa Tanganyika yenye hatma ya taifa hili.
Mshana Jr
Yupo Makonda.Yaani mhutu tena jamani? Hivi hakuna Mtanganyika mwenye sifa?
Sio hatogombea ila hatofikia siku ya ugombeaji, kwa andiko hili habari yake inaisha mwaka huu ndio maana kasema muongo mmoja na miaka miwili. Let's wait and seeHiyo umeitengeneza au ni habari ya kweli?
Unamaanisha malkia hatogombea?
Kwa hiyo mfalme mtarajiwa yu mzima wa afya tele, na atarejeabaada ya miezi mitatu?
Kwa hiyo yupo nje kwaajili kufunzwa namna ya kuendesha nchi?
Ngoja tuoneSio hatogombea ila hatofikia siku ya ugombeaji,kwa andiko hili habari yake inaisha mwaka huu ndio maana kasema muongo mmoja na miaka miwili. Let's wait and see
Kwani hujui Bibi rimoti ipo UAE??Mbona BIBI ameweza?
Sio hatogombea ila hatofikia siku ya ugombeaji,kwa andiko hili habari yake inaisha mwaka huu ndio maana kasema muongo mmoja na miaka miwili. Let's wait and see
Hata mtarajiwa wa Zanzibar 2020 alipoteaga lakini leo ndio mfalme ZenjiMleta story unajifanya kuleta mafumbo kama kuongoza nchi hii kunahitaji akili nyingi sana. Hapa jeshi linatii rais yoyote aliye madarakani bila kujali kaingia vipi madarakani. Kwamba sijui kaenda wapi kufanya Nini, na nani ana Siri nyingi ni upuuzi mtupu.
Codes zilianza kwa ulaini mwishoni ikawa kizungumkuti! Asante sana mleta mada.Hiyo ilikuwa ni Hadithi ya Kisiwa cha Kusadikika
Wapiga Ramli Chonganishi wanazidi kuendelea na kazi yao.Alikuwepo Mkata utepe mmoja aliyetokea Magharibi mwa kisiwa cha Kusadikika alikuwa mpole, mnyenyekevu na asiye na makuu yeye alijua tu kufanya kazi katika wafalme mbali mbali wa kisiwa hicho kilichoko mashariki mwa bara la giza
Umaarufu wa Mkata utepe ulivuma Sana alipopewa kazi ya kutunza kibubu cha kisiwa hicho kwani mfalme wa wakati huo alimwamini Sana kwa misimamo yake ya kutoyumba na uaminifu mkubwa
Baada ya Muda Mfalme yule alitwaliwa kwa Mwenye nguvu zote na Duniani na ulimwenguni na baadaye akaja malkia kama Mrithi wa kisiwa cha Kusadikika.
Malkia yule alimpa kazi ya kukata utepe na wazee wa kisiwa kile walimwambia Malkia kuwa mwanzoni mwa kalenda mpya Malkia inabidi Amwachie kiti cha enzi yule Mkata utepe na hatimaye mkata utepe awe mfalme wa kisiwa cha kusadikika kwa mwaka muongo 1 na miaka 2
Lakini kabla ya mkata utepe yule hajapewa majukumu ya kuwa mfalme wa kisiwa cha kusadikika ilibidi akutane kwanza na wazee wa enzi kumpa nguvu na kumuonyesha njia sahihi na namna ya kuongoza kile kisiwa cha kusadikika
Mfalme huyu alitokea baada ya masaa zaidi ya 2000 na tukio lile lilikuja kuwaacha Hoi waliokuwa wanaulilia ufalme wa kisiwa cha kusadikika na wategemezi wa Malkia aliyejaa siri nyingi na nzito waliangua kilio na walizimia baadhi yao kujiua
Hiyo ilikuwa ni Hadithi ya Kisiwa cha Kusadikika
Makonda huyu hajitambui kawekwa kwenye kilengeoYupo Makonda.
Hao wapole ndiyo silent killers wabaya sana!Kwa upole ule mkata utepe haweZi kuwa mfalme! Atakufa Day 2!
Labda kama remoti itakuwa Kigali