Historia ya Mkata utepe wa kisiwa cha kusadikika aliyepotea ghafla alikuwa akikabidhiwa majukumu mazito ya kushika usukani mwanzoni mwa kalenda mpya


Code nyepesi sana hii.. anyways tunamuombea
 
Ha ha ha! hakuna lolote lile. Unanikumbusha enzi hizo. Nilipoishi kule kulikuwa na vitisho kuwa wanatumia majini na viumbe wa majini katika mazingara. Na kuwa uchawi wa bara haufanyi kazi. Tulikatazwa kwenda minazini wakati wa mchana. Wakidai ni wakati wa majini kutembea. Sikujali na mara nyingi nilikwenda minazini muda huo.
Ni maneno tu kama ilivyo maneno ya kanga.
 
Ni
Ni kweli kapotea ama ameenda kufuata maelekezo zaidi kwa wenye enzi?
 
Mpuuzi huyo.
Anateseka sana kuondoka kwa Mwendazake
 
Hizi ni story tu, zipo incidence za wachawi kutoka Tanzania kufanya voodoo huko Haiti na wanachukua skills za dark arts na black magic kuzileta huku. So indeed uchawi unavuka maji.
 
Kwa hali ya kisiwa ilivyo, tunahitaji Mfalme mwingine kwa kweli. Tuache uchawa na kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa malkia aliyepo. Amefeli kwa kiasi kikubwa sana. Hali ya maisha inazidi kuwa ngumu hasa kwa wanyonge.
Nani kakuambia uwe mnyonge? Kataa unyonge, jiwe aliwafanya muone ufahari kuwa wanyonge
 
Mfalme huyu alitokea baada ya masaa zaidi ya 2000 na tukio lile lilikuja kuwaacha Hoi waliokuwa wanaulilia ufalme wa kisiwa cha kusadikika na wategemezi wa Malkia aliyejaa siri nyingi na nzito waliangua kilio na walizimia baadhi yao kujiua
What's so special about him? Hana personality, influence, wala charisma ya Urais angebaki kwenye utendaji kama Gavana wa benki kuu au Katibu Mkuu kiongozi sio urais.

Kingine afya yake haikutengemaa tokea Covid 19 angepumzishwa why tunaforce mambo ina maana nchi hii haina vijana wa 50s huko wachukue mantle kiasi tu recycle wazee hao hao? Tunarudia risk ile ile ya JPM. Tulijua ni mgonjwa ila tukaforce kumchosha na mattress ya urais hadi umeme ukapata hitilafu.

Na hii sio Tanzania hata kenya, Uganda, Nigeria wanasiasa ni walewale ageing politicians being recycled
 
Nasadiki kwa Mungu Baba....
 
Influence ndo uwezo wa uongozi?

Hata majambazi yana influence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…