Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Usimsikilize Katelephone!Hivi sheria ya kuiwakikisha nchi nje ya nchi kwa mikutano au kazi maalumu kwa viongozi wetu wakuu haina muda maalumu? Kiongozi anaweza kuchukua per diem za siku ngapi?
Kwenye matukio kama hayo anakuwaga muongo muongo!