Historia ya Mkata utepe wa kisiwa cha kusadikika aliyepotea ghafla alikuwa akikabidhiwa majukumu mazito ya kushika usukani mwanzoni mwa kalenda mpya

Historia ya Mkata utepe wa kisiwa cha kusadikika aliyepotea ghafla alikuwa akikabidhiwa majukumu mazito ya kushika usukani mwanzoni mwa kalenda mpya

Alikuwepo Mkata utepe mmoja aliyetokea Magharibi mwa kisiwa cha Kusadikika alikuwa mpole, mnyenyekevu na asiye na makuu yeye alijua tu kufanya kazi katika wafalme mbali mbali wa kisiwa hicho kilichoko mashariki mwa bara la giza

Umaarufu wa Mkata utepe ulivuma Sana alipopewa kazi ya kutunza kibubu cha kisiwa hicho kwani mfalme wa wakati huo alimwamini Sana kwa misimamo yake ya kutoyumba na uaminifu mkubwa

Baada ya Muda Mfalme yule alitwaliwa kwa Mwenye nguvu zote na Duniani na ulimwenguni na baadaye akaja malkia kama Mrithi wa kisiwa cha Kusadikika.

Malkia yule alimpa kazi ya kukata utepe na wazee wa kisiwa kile walimwambia Malkia kuwa mwanzoni mwa kalenda mpya Malkia inabidi Amwachie kiti cha enzi yule Mkata utepe na hatimaye mkata utepe awe mfalme wa kisiwa cha kusadikika kwa mwaka muongo 1 na miaka 2

Lakini kabla ya mkata utepe yule hajapewa majukumu ya kuwa mfalme wa kisiwa cha kusadikika ilibidi akutane kwanza na wazee wa enzi kumpa nguvu na kumuonyesha njia sahihi na namna ya kuongoza kile kisiwa cha kusadikika

Mfalme huyu alitokea baada ya masaa zaidi ya 2000 na tukio lile lilikuja kuwaacha Hoi waliokuwa wanaulilia ufalme wa kisiwa cha kusadikika na wategemezi wa Malkia aliyejaa siri nyingi na nzito waliangua kilio na walizimia baadhi yao kujiua

Hiyo ilikuwa ni Hadithi ya Kisiwa cha Kusadikika
Nigra stara tract hujue hata unachoelezea
 
Mleta story unajifanya kuleta mafumbo kama kuongoza nchi hii kunahitaji akili nyingi sana. Hapa jeshi linatii rais yoyote aliye madarakani bila kujali kaingia vipi madarakani. Kwamba sijui kaenda wapi kufanya Nini, na nani ana Siri nyingi ni upuuzi mtupu.
Sgang hawa
 
Influence ndo uwezo wa uongozi?

Hata majambazi yana influence
Influence sio maneno ila uwezo wa "making things move". Yaani uwezo wa ku mobilize watu kwenda njia moja.

JPM sikua namkubali leadership style yake ila alikua na uwezo wa komibilze hata kama ni kutumia propaganda au vitisho. Ila unfortunately Mpango hana hiyo ability and thus atakua failure from the word "go".
 
Haya FUTA hizo tetesi zako.

Jambo pekee nililogundua ni kuwa, mtu huyu alifichwa au alijificha Ili upepo mbaya upite. Makada wengi pia hamkujua nini kinaendelea.

Mungu ni MWEMA.
 
Kama ulikiwa unamkubali Jiwe, basi wew na makonda mko na akili sawa
 
Haya FUTA hizo tetesi zako.

Jambo pekee nililogundua ni kuwa, mtu huyu alifichwa au alijificha Ili upepo mbaya upite. Makada wengi pia hamkujua nini kinaendelea.

Mungu ni MWEMA.
Hivi Baraza la mawaziri Lili ridhia dpweldi? VP yupo kwenye Baraza la Mawaziri.. na kuridhia maana yake Ku saini kuafiki.
 
Back
Top Bottom