Historia ya mkoa wa Tanga

Hata Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro kuna Kijiji kinaitwa Tanganyika.
Mkoani Katavi kuna wilaya inaitwa Tanganyika, labda tuendelee kudadavua zaidi asili ya jina hili
 
Mkuu inasemekana kwamba hapo tanga mjini wenyewe halisi ni wabondei.
Ni kweli tanga maana yake ni Shamba.

Wadigo walitokea Mombasa,
wakavamia tanga mjini,,
wakateka eneo lote la tanga mjini,
hadi kufikia mkanyageni ,,
na ngomeni.ambapo palikuwa makao makuu ya wabondei.

Baada ya wadigo kufika muheza wadigo walishindwa kuwasukuma wabondei zaidi ya hapo,,,
Wabondei waliapa kufia hapo muheza.

Muheza kwa kibondei maana yake tumefika...

Baada ya hapo,, mdigo na mbondei wakawa hawawezi kuoana.
Tena walikuwa na uhasama mkubwa sn.
Jambo hilo limefutika juzi tu,,lakini zamani ndoa ya makabila hayo hayapo.
 
korogwe girls,st christina,mazinde juu nk
 
ok tumeshawatoa wakina maji marefu,kigoda nk sasa hivi tuna watu kama wakina umy mwalimu ,mwana FA,aweso nk ambao tunaamini tutafika mbali
 
INCASE YOU DONT KNOW, THESE ARE 20 UNIQUE FACTS ABOUT TANGA.

1. First Railway in Tanzania Mainland - Tanga 1893.

2. First Government Secondary School - Tanga 1890 (Tanga Old School).

3. First School (Anglican) in Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza.

4. First Malaria Research Institute in the World - Tanga Muheza, Ubwari 1949.

5. First Modern Hospital- Tanga, Cliff Block 1895

6. First Luxury Modern Hotel in Tanzania - Tanga, Kaiserhof Hotel 1906.

7. First Sisal Plantation in Africa - Tanga, Pangani 1900.

8. Tanzania Central Bank Emblem is an inspiration from Tanga Sisal Plantation as it contributed to over 60% of country’s GDP.

9. Tanga was the first city to become Municipal in 1891.

10. Tanga had the first modern Market in Tanzania - 1903 Uzunguni Market.

11. The first bullet of The First World War in Africa was fired in Tanga - November 1913.

12. Tanga had the first church in Tanzania - Magila Msalabani Muheza - 1840s.

13. Tanga produced the first native priest (Lutheran) in Tanzania, Jacob Lumwe (1880 - 1970).

14. Over 95% of Tanga City Wards have stable water supply, making it the only city in the country.

15. Tanga has the oldest and functioning sewage system in East Africa.

16. Tanga holds the record of the most well organized city in East Africa.

17. Tanga holds the record of having the first public library in Tanzania 1950s.

18. Tanga has the first hydroelectric power plant in Tanzania since 1905 in Muheza Amani.

19. Tanga Port is the longest serving port in East Africa (Refer to Tanga Port Web).

20. Tanga has the oldest clock tower in Tanzania (probably Africa) 1901.
 
Sijasikia ukitaja shule ya Karimjee, one of the best in the British Commonwealth....
 
Kuna wilaya 10 ambazo ni Handeni Vijijini, Handeni Mjini, Kilindi, Korogwe Vijijini, Korogwe Mjini, Lushoto, Mkinga, Muheza, Pangani na Tanga Mjini.
Hizo ni Halmashauri na si Wilaya.Wilaya moja inaweza kuwa na Halmashauri mbili
 
Sijakuelewa Hapo Kwenye Wilaya Ya Korogwe Vijijini, Handeni Vijijini!! Hizi Wilaya Ni Mpya Ama

Kuna Mtu Mmoja Singida Alisema Yupo Wilaya Ya Ilongero,

Tanga
Korogwe, Muheza, Lushoto, Pangani, Mkinga, Handeni, Kilindi, Sasa Ukiiweka Tanga Mjini
 
Kawaida kwenye mkoa wenye kabila zaidi ya moja,Kuna tabia ya kudharauliana,yani Kuna kabila flan litajiona ni bora zaidi ya mengine..je kwa Tanga kabila gani ni bora zaidi na ubora wake ni nini?na kabila ambalo linalodharaulika ni lipi?na kwa nini linadharaulika?Samahan naomba kujua.
 
Naona wadigo ndio pasua kichwa, wanaifanya tanga isiendelee walimfukuza mbondei pia wazigua kazi yao uchawi na vijicho tu, kabila overall successful ni wasambaa
 
Naona wadigo ndio pasua kichwa, wanaifanya tanga isiendelee walimfukuza mbondei pia wazigua kazi yao uchawi na vijicho tu, kabila overall successful ni wasambaa
Haa😂😁😅😄
 
Kati ya mikoa iliyokuwa na maendeleo miaka ya mwanzoni mwa uhuru na miaka ya mbeleni kidogo ilikuwa ni mkoa wa tanga,watu waliokuwa voingozi kipindi kile nafikiri walipelekea kuudhofisha huu mkoa,kipindi hicho ulikuwa na kila kitu cha upekee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…