Habari zenu
ningependa kufahammu kama kwenye histiria ya tz football kulishawahi kutokea timu ambayo ilipanda daraja kama vile ilivyopanda Mbao fc ya mwanza.
pili je kuna kitabu maalum kilichoandikwa kuhusiana na soka la bongo?
natangulisha shukurani zangu.