GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wana Yanga SC sio Wajinga (Mangumbaru ) au Wapumbavu (Mapopoma) wampe Mtu ambaye kaanza Kuujua mpira mwaka 2019 (Injinia Hersi Said) halafu tumuache Mtu mwenye Rekodi iliyotukuka katika Medani ya Kandanda (Soka) nchini Tanzania tena akiwa amefanya makubwa halafu ni Msomi vilevile tena wa 'Doctorate' kabisa Mshindo Msolla.
Wana Yanga SC tusifanye kosa sote tumpe kura zetu za ushindi wa Kimbinga kabisa Dk. Mshindo Msolla na siyo msanii na mgeni katika soka la Tanzania Injinia Hersi Saidi.
Tutanuniana mno mwaka huu kudadadeki.